Rais Samia akiipanua tu hii barabara, nitaanza rasmi kumpigia debe

Rais Samia akiipanua tu hii barabara, nitaanza rasmi kumpigia debe

Amepanua ufisadi badala ya kupanua Barabara🐒🐒🐒
 
Foleni ipo Maili Moja mpaka mlandizi na pale chalinze Basi kwingine hamna haja ya kuwa njia sita
Mkuu hapana chalinze-Moro ile barabara pia ina maroli mengi sana yaani roli moja tu likizima barabarani kunakuwa na foleni ya kufa mtu, hii pia lazima ipanuliwe.
 
Back
Top Bottom