Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Jan 15, 2022 #21 Amepanua ufisadi badala ya kupanua Barabara🐒🐒🐒 Your browser is not able to display this video.
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 11,201 Reaction score 28,642 Jan 15, 2022 #22 Mbeya-Tunduma ni tatizo kubwa sana.
gubegubekubwa JF-Expert Member Joined Jun 9, 2008 Posts 668 Reaction score 898 Jan 16, 2022 Thread starter #23 Super Sub Steve said: Foleni ipo Maili Moja mpaka mlandizi na pale chalinze Basi kwingine hamna haja ya kuwa njia sita Click to expand... Mkuu hapana chalinze-Moro ile barabara pia ina maroli mengi sana yaani roli moja tu likizima barabarani kunakuwa na foleni ya kufa mtu, hii pia lazima ipanuliwe.
Super Sub Steve said: Foleni ipo Maili Moja mpaka mlandizi na pale chalinze Basi kwingine hamna haja ya kuwa njia sita Click to expand... Mkuu hapana chalinze-Moro ile barabara pia ina maroli mengi sana yaani roli moja tu likizima barabarani kunakuwa na foleni ya kufa mtu, hii pia lazima ipanuliwe.