Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Hahaha wewe mwenyewe hutakuwa na haki hata ya kuisogelea, subiri DP WORLD mliowapa waje, mtapiga mbizi[emoji706].Chadema wasiruhusiwe kupanda hii meli, ni wajinga sana
MV Victoria haijawahi kuzama acha kupotosha. Iliyozama ni MV BukobaRais Samia Hassan amefanya ziara kwenye jiji la Mwanza na kufanya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya kimkakati lakini alipoingia kukagua meli ya MV Mwanza hapa kazi tu alionyesha kuikubali na kushangazwa na ukubwa na uzuri wake...
We lazima utakuwa na asili ya tamaduni za Europe siobure.Akina songolo wametajirika kabisa kupitia ujenzi wa hiyo meli.......yaani ni mwendo wa kuchota tu, limeli lenyewe bayaaa
SawaMV Victoria haijawahi kuzama acha kupotosha. Iliyozama ni MV Bukoba