Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Mbona imepoa sana, tunaambiwa deni ni himilivu. Naona wameshakaa kama kamati kuokoa kura za 2025
#No Reform No election
#No Reform No election
Sahihi huyo anadhani hiyo ripoti ni kama kuongea hewani mambo ya no reform no election au tonetoneUshasema anatoa ripoti kwa raisi, na wewe pia unasikiliza. Ulitaka asisome. Hyo ripoti unadhani ni hadithi ya hawa the bus driver? Hyo imechakatwa mbwa wewe. Lazma asome every dot. Hamsomii raisi tu. Anakusomea hadi wewe. Take a book and pen, note down, ndio utueleze kuna madudu gani umesikia. Mbwa kabisa ww.
Ina maana gani kama WAPIGAJI wenyewe hawashughulikiwi?!Kila mwaka ripoti inakabidhiwa, lakini utekelezaji wa kilichomo kwenye hiyo ripoti; haujulikani!
Tueleze ripoti iliyopita ilikua na kitu gani cha kutekeleza? Na kipi hakijatekelezwa.Kila mwaka ripoti inakabidhiwa, lakini utekelezaji wa kilichomo kwenye hiyo ripoti; haujulikani!
Yule bibi ni BOMUIna maana gani kama WAPIGAJI wenyewe hawashughulikiwi?!
Kila mwaka kumekuwepo na ubadhirifu mkubwa wa fedha za walipa kodi, matumizi mabaya ya madaraka, uendeshaji wa hasara wa mashirika na taasisi za serikali, nk! Na hakuna utekelezaji wowote ule unaofanyika kukomesha hiyo hali.Tueleze ripoti iliyopita ilikua na kitu gani cha kutekeleza? Na kipi hakijatekelezwa.
Watu wanapiga tuDuuuh, hawa Tanroad ni balaa. Wameiba nyingi na huyo mkandarasi Mturuki
Ndio fatilia ripoti , hadi sasa hizo story zako hazipo. Maana ana refer miaka ya nyuma. Acha story za vijiweni. Mbwa wewe, kaa tbc note down tutadiscuss baadae. Acha uwongo.Kila mwaka kumekuwepo na ubadhirifu mkubwa wa fedha za walipa kodi, matumizi mabaya ya madaraka, uendeshaji wa hasara wa mashirika na taasisi za serikali, nk! Na hakuna utekelezaji wowote ule unaofanyika kukomesha hiyo hali.
Au mwaka huu ripoti yake ni tofauti na hizi ripoti za miaka nenda? Unijibu hapa.
Hao CAG ofisi waweza kuta wameongwa na mchina ili kumchafua Mturuki🤣🤣🤣Duuuh, hawa Tanroad ni balaa. Wameiba nyingi na huyo mkandarasi Mturuki
Hakika hii nchi ni chaneli ya vichekesho namba +255Mwizi aliyezungukwa na wezi wanaoongoza magenge ya wezi wanaoliibia taifa kupitia tender za ujenzi na uwekezaji na miradi chungumzima anapokea ripoti ya TAKUKURU🤣🤣🤣
Vituko havitaisha nchi hii.