KOMANDO YOSO
JF-Expert Member
- Sep 7, 2023
- 819
- 2,864
Kuna mtu anajitetea now
Hiyo baadaye nadhani muda wa kudiscuss hautapatikana. Maana nitakuwa na mama yako tukijadili mustakabari wa maisha yako ya baadaye.Ndio fatilia ripoti , hadi sasa hizo story zako hazipo. Maana ana refer miaka ya nyuma. Acha story za vijiweni. Mbwa wewe, kaa tbc note down tutadiscuss baadae. Acha uwongo.
Dah, hasara juu ya hasara
Umeisoma hi habari yote?Hapo sasa.
Even if you will not down who careUshasema anatoa ripoti kwa raisi, na wewe pia unasikiliza. Ulitaka asisome. Hyo ripoti unadhani ni hadithi ya hawa the bus driver? Hyo imechakatwa mbwa wewe. Lazma asome every dot. Hamsomii raisi tu. Anakusomea hadi wewe. Take a book and pen, note down, ndio utueleze kuna madudu gani umesikia. Mbwa kabisa ww.