Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Mbona imepoa sana, tunaambiwa deni ni himilivu. Naona wameshakaa kama kamati kuokoa kura za 2025

#No Reform No election
 
Sahihi huyo anadhani hiyo ripoti ni kama kuongea hewani mambo ya no reform no election au tonetone
 
Tueleze ripoti iliyopita ilikua na kitu gani cha kutekeleza? Na kipi hakijatekelezwa.
Kila mwaka kumekuwepo na ubadhirifu mkubwa wa fedha za walipa kodi, matumizi mabaya ya madaraka, uendeshaji wa hasara wa mashirika na taasisi za serikali, nk! Na hakuna utekelezaji wowote ule unaofanyika kukomesha hiyo hali.

Au mwaka huu ripoti yake ni tofauti na hizi ripoti za miaka nenda? Unijibu hapa.
 
Ndio fatilia ripoti , hadi sasa hizo story zako hazipo. Maana ana refer miaka ya nyuma. Acha story za vijiweni. Mbwa wewe, kaa tbc note down tutadiscuss baadae. Acha uwongo.
 
Mwizi aliyezungukwa na wezi wanaoongoza magenge ya wezi wanaoliibia taifa kupitia tender za ujenzi na uwekezaji na miradi chungumzima anapokea ripoti ya TAKUKURU🤣🤣🤣

Vituko havitaisha nchi hii.
Hakika hii nchi ni chaneli ya vichekesho namba +255
 
Zile ripoti zilizopita zilisema huko SGR na Tanroads kuna mambo ya kutisha na upigaji kwenye miradi na taasisi nyingi yule Spika wa Bunge la CCM akazimiisha mijadaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…