Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Yaani hata kusema "kwa ruhusa yako" lazima lisome kwenye makaratasi? CCM ilishaishiwa viongozi!
 
Hizi ripoti ziwe zinafanyiwa kazi sio zinasomwa somwa tu bila kufanyia marekebisho mahali penye mapungufu
 
“Kuna dosari zilizotolewa hapa tutaenda kuzifanyia kazi kisawasawa turekebishe na mwakani pengine hizi hazitajirudia tutakuwa tumesogea,” amesema

Tusidanganyane. Mbona kila mwaka ni ahadi hizo hizo!!
 
Samahani full report kwa kila taasisi NAIPATA WAPI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…