James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Ulipigwa peke yako na genge lako, usituongelee wote.17 March Tanzania tulipigwa na chuma kizito kichwani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipigwa peke yako na genge lako, usituongelee wote.17 March Tanzania tulipigwa na chuma kizito kichwani.
MATAGA wakijiuliza imekuwaje mambo ya maji na umeme kwa mpigo huku wakisahau kuwa zimebaki siku 9 tu akiba ya mafuta nayo iishe nchini pia😁😁😁Pole sana. Utapona, na nakutakia asubuhi njema.
Wasiwasi wangu n hizo [emoji577] za umeme zikianza, Daresalam to Dom siku mbili kufika, lakini zaidi bado tunasambaza umeme vijijini.Rais Samia akiwa mkoani Mwanza amesema anatambua uwepo wa upungufu wa umeme ikimaanisha vyanzo vilivyopo havikidhi mahitaji yaliyopo. Waziri wetu wa nishati aliliongelea suala la kukatikatika kwa umeme chanzo chake ni marekebisho ya mfumo wa zamani.
Tunaandaliwa kwa umeme wa dharura?
View attachment 2015320
Hata akijiuzulu haisaidii maana tutawarudisha tu! Sana sana tutaingia kwenye gharama za kuwarudishaAjiuzulu tu yeye na CCM yake waondoke madarakani.
Hapa tushapigwa!!!Rais Samia akiwa mkoani Mwanza amesema anatambua uwepo wa upungufu wa umeme ikimaanisha vyanzo vilivyopo havikidhi mahitaji yaliyopo. Waziri wetu wa nishati aliliongelea suala la kukatikatika kwa umeme chanzo chake ni marekebisho ya mfumo wa zamani.
Tunaandaliwa kwa umeme wa dharura?
View attachment 2015320
Waziri na rais hawajui kitu.Rais Samia akiwa mkoani Mwanza amesema anatambua uwepo wa upungufu wa umeme ikimaanisha vyanzo vilivyopo havikidhi mahitaji yaliyopo. Waziri wetu wa nishati aliliongelea suala la kukatikatika kwa umeme chanzo chake ni marekebisho ya mfumo wa zamani.
Tunaandaliwa kwa umeme wa dharura?
View attachment 2015320
Si unaona ata wewe mwenyewe akili yako bado haijakaa vizuri dish lime tiltUlipigwa peke yako na genge lako, usituongelee wote.