IPTL muda wao huu...kuwasha mitambo...Rais Samia akiwa mkoani Mwanza amesema anatambua uwepo wa upungufu wa umeme ikimaanisha vyanzo vilivyopo havikidhi mahitaji yaliyopo. Waziri wetu wa nishati aliliongelea suala la kukatikatika kwa umeme chanzo chake ni marekebisho ya mfumo wa zamani.
Tunaandaliwa kwa umeme wa dharura?
Kazi iendelee