Rais Samia akiri kuwepo upungufu wa umeme, Makamba alisema ni 'scheduled maintainance'

Wasiwasi wangu n hizo [emoji577] za umeme zikianza, Daresalam to Dom siku mbili kufika, lakini zaidi bado tunasambaza umeme vijijini.
 
Hapa tushapigwa!!!
 
Waziri na rais hawajui kitu.
 
Hapo hakuna waziri,tumepigwa aise.sijui ilikuwaje akapewa dhamana ya wizara nyeti Kama ile daaah. Mama hapa ukweli umetuhuzunisha watanzania ....Basi tu!!
 
Hivi huyo utopolo makamba bado anadai ni scheduled maintanance!? Qumamae zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…