Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Haki?
Inashangaza sana!Yule aliyesema kifo ni kifo tu anzungumzia amani gani?
Kazi ya GSM
Wanajibu Maombi ya Novena na yale ya mfungo makanisa yanafanya..ndio mjue ccm ni chama cha nani.
..wamejizima data, wao haki hawaijui, wanajua amani tu hata km wadhalimu wanaumiza wengine.Amani ipi?
Ya kuchakachua mfumo wa Uchsguzi kukibeba Chama cha Mapinduzi?