Matukio ya uhalifu ni mengi sana ,mengine yanaripotiwa na vyombo vya habari , mengine tunakutana nayo kwenye mitandao ya kijamii lakini kuna mengine hayaonekani popote . Tunakoelekea watu wataogopa kufanya biashara na shughuli zao Watu wanaofanya shughuli zao usiku wataogopa kuendelea nazo...