Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa 42 wa Wakuu wa Nchi wa SADC Nchini DRC leo tarehe 17 Agosti, 2022.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajenda za mkutano ni zipi?... Au ni ule ule wimbo wa amani huko Kivu na ituri?Nimepata bahati ya kushiriki nikiwakilisha organization yetu... Karibuni.
Agenda ni kupokezana kijiti kutoka kwa Chakwera kwenda kwa TshisekediAjenda za mkutano ni zipi?... Au ni ule ule wimbo wa amani huko Kivu na ituri?
Shukrani kwa Uwakilishi Ndugu Lusungo,samahani Organization yenu ni ipi Mkuu??Agenda ni kupokezana kijiti kutoka kwa Chakwera kwenda kwa Tshisekedi
Ajenda nyingine ni usalama na mwisho ni kuhusu maendeleo ya viwanda, kilimo na madini ambayo ni dira ya 2020 - 2030 yaani.... Regional Indicative Strategic Development Plan (RISDP) 2020-2030 which seeks to further deepen Southern Africa regional integration and foster development in support to the pillar for Industrial Development and Market Integration.
Mwisho kabisa hii ni talk shops kama zingine tuuu tunakula perdiem turudi makwetu.
Hahahaha unataka uifwatilie ili ujue then uje unisage sage kama Ulimboka? 😀😀😀😀😀😀Shukrani kwa Uwakilishi Ndugu Lusungo,samahani Organization yenu ni ipi Mkuu??
Ngumu Sana hili bara kufika huko kwa aina ya tawala zilizopo.Nimependa hii theme ' Promoting industrialisation through, agro-processing, mineral beneficiation, and regional value chains for inclusive and resilient economic growth' Tuna theme tamu tamu sana tatizo linakuja katika implementation... natamani Africa siku moja tuwe na strong economic blocks kama ilivyo EU
Lakini hapa tunajadili ajenda zinaishia kwenye makabrasha kila nchi inafanya yake na hakuna utekelezaji wa sera zetu zaidi ya free movement tuuu...
Hizi ni talk shops tu kwa Afrika.
Imagine tupo EAC lakini tunaishi kama mbingu na ardhi kila nchi inafanya vyake... Kenya leo wanalia ishu ya unga huku malori yakiwa mipakani!! Afrika tuna safari ndefu kuhusu hili jumuia zetu...Ngumu Sana hili bara kufika huko kwa aina ya tawala zilizopo.
MALCOM LUMUMBA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa 42 wa Wakuu wa Nchi wa SADC Nchini DRC leo tarehe 17 Agosti, 2022.
hahahaha tunajenga mahusiano ya kimataifa,pia mikutano hii huwa kn zile brief ndg ndg za intel zone, ina umuhimu mikutano,ingawa faranga inatumikaHizo ni 'pub' za viongozi kukutana na kupiga soga huku wakijiingizia 'per diem'
mtu chake
utekelezaji huwa mgumu,sbb sheria za nchi husika haaziko mtambukaNimependa hii theme ' Promoting industrialisation through, agro-processing, mineral beneficiation, and regional value chains for inclusive and resilient economic growth' Tuna theme tamu tamu sana tatizo linakuja katika implementation... natamani Africa siku moja tuwe na strong economic blocks kama ilivyo EU
Lakini hapa tunajadili ajenda zinaishia kwenye makabrasha kila nchi inafanya yake na hakuna utekelezaji wa sera zetu zaidi ya free movement tuuu...
Hizi ni talk shops tu kwa Afrika.
iko vzr,tunawafuatiliaAgenda ni kupokezana kijiti kutoka kwa Chakwera kwenda kwa Tshisekedi