Rais Samia akishiriki Sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Juni 9, 2025

Rais Samia akishiriki Sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Juni 9, 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Rais Samia akishiriki Sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Juni 9, 2025

=====================================

Akimkaribisha Rais Samia Suluhu Hassan aliyekuwa mgeni rasm katika sherehe a kufunga mafunzo ya maofisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi, Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa amemshukuru Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk Tulia Ackson kwa kuwa Bunge lake limesimama na Serikali dhidi ya watu kutoka nje ya nchi wasiokuwa na nia njema na nchi.

“Tumeshuhudia Bunge likisimama na Serikali kindakindaki pale masilahi ya Taifa letu yanapoguswa. Hata pale watu kutoka nje ya nchi wasioitakia mema nchi yetu, tumeshuhudia Bunge letu likitetea heshima ya nchi yetu,”

 
Soon utamsikia anatoa boko kwenye hotuba yake. Huyu mama ni kama kamix vile!?

No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
 
Kuna kitu sijaelewa kuhusu kazi na Majukumu ya Rais na Waziri mkuu wa JMT ,maana Kila siku nasikia Leo anafungua shule,kesho hospital,next week daraja,Mara kisima,uzinduzi wa kitabu,yaani Kila event wanakuwepo,,why???hawana kazi za msingi ofisini au hizi nazo moja ya kazi zao??
 
Rais Samia akishiriki Sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Juni 9, 2025


Hii si Afya kabisa kwa Usalama wa Umma.

Jeshi la Polisi limepoteza uhalali wote kabisa wa kuweza kuendelea kuwa Jeshi la Serikali katika nchi yoyote ile kutokana na Jeshi hilo kujihusisha na Vitendo viovu vya uhalifu mbaya, vitendo hivi viovu vinakwenda kinyume kabisa na Malengo ya awali ya kuanzishwa kwa Jeshi hilo.
Suluhisho pekee lililobaki kwa Sasa ni kulivunja Jeshi lote kabisa sambamba na kuanzisha Jeshi la Polisi lingine jipya kabisa, chini ya Sheria Mpya pamoja na miongozo mingine mipya itakayosimamia Jeshi hilo.

Kimsingi, Jeshi la Polisi lililopo hivi Sasa hapa nchini lina sura mbaya Sana kwa Umma, Wananchi karibia wote kabisa waliopo katika nchi hii tayari walishapoteza imani nalo tangu zamani.
Kwa Sasa, kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha kati ya Mapolisi na Majambazi/Watekaji.

Siku hizi Vituo vya Polisi siyo Vituo vya Usalama tena kama ilivyokuwa miaka ya zamani, Bali vimegeuka na kuwa Kambi za Kifo na Mateso kwa Raia wema! Siku hizi pia ukiitwa kwenda kwenye Kituo Cha Polisi chochote kile ni sawa sawa na Nusu ya Kukiona Kifo, ukiitika wito wenyewe ni sawa sawa na Kukubali Kifo!
Ukisikia ndugu yako amekamatwa na Polisi au ameitwa aende akaripoti katika Kituo Cha Polisi, basi unapaswa Ujiandae vizuri Kisaikolojia na uwe tayari kwa kupokea taarifa za msiba na kwenda kuchukua maiti ya ndugu yako!
 
mbona haendi nje siku hizi, yeye na sherehe za ndani ziara mikoani aaaah
 
Tumwombe Rais wa Kenya Rutto na Rais wa Uganda Kaguta 7 wampe mwaliko.

Tumwombee mwaliko nchi hizi mbili.
Nadhani raia wa kenya wangejitokeza kwa wingi uwanja wa ndege kumbeba na wangempa ulinzi wa kutosha.
 
Back
Top Bottom