Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Rais wa nchi anadilije na vitu vidogo kama hivyo?
Hakuna hata haja ya Manaibu waziri kwa lipi haswa? Hiyo inshu angefanya mwenyekiti wa mtaa wa eneo hilo basi inatoshaRais ni mtu mkubwa, hizo petty issues angewatuma hata manaibu waziri, Kuna mambo mengi sana ya kushughulikia katika nchi
Hamna kitu humo.Rais wa nchi anadilije na vitu vidogo kama hivyo?
TEC, CCT, BAKWATA walishawai kumualika sio petty issues, ila kwa Buldoza Mwamposa petty issues.Rais ni mtu mkubwa, hizo petty issues angewatuma hata manaibu waziri, Kuna mambo mengi sana ya kushughulikia katika nchi
Ila RAIS wenu lissu angealikwa ingekuwa safi kabisa,kuwa mwana chadema kumesababisha wengi kuwa MAZEZETA.Duh! Nimehisi aibu
Mwl Mwakasege , ana kanisa kubwa balaa pale Dodoma ,ila mzee wa watu katulia sana hanaga makeke, sasa hawa wa juzi ,utawashangaqRais Samia kushiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa leo Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe - Dar es Salaam.