tutavivuja tukiingia kutafuta hakiDuh,
Mwamposa ashajipata.. hongera kwake.
Wanasiasa hawana dini, mungu wao ni madaraka, atafanya chochote, ataingia popote, atamwabudu yoyote ilimradi tu ashike madaraka.Ktk imani yake hili limekaaj. Haya maisha ya dunian bana. Wataalam wa madrasa njooni mtupe elimu
Kuna mtu wa dini, halafu kuna mcha Mungu.Mama mtu wa dini sana, Mungu ambariki
Kwa nini rais anashiriki ufunguzi wa kanisa katika nchi ambayo serikali haina dini na inasisitiza separation of church and state?Mhe. Rais Dkt. Samia Kushiriki Ufunguzi wa Kanisa la Arise & Shine
kweliMama alitakiwa akae na wazalishaji kama wakandarasi mama natamani kumshauri mama
Mwkasege ni KKKT haya matapeli mengine ni manyonya damuMwl Mwakasege , ana kanisa kubwa balaa pale Dodoma ,ila mzee wa watu katulia sana hanaga makeke, sasa hawa wa juzi ,utawashangaq
Rais wa nchi anadilije na vitu vidogo kama hivyo?
Kashauza bandari inatosha hana shida tenaMama alitakiwa akae na wazalishaji kama wakandarasi mama natamani kumshauri mama
Ulitaka akazindue mkeo?Rais wa nchi anadilije na vitu vidogo kama hivyo?
Mwenyekiti wa mtaa anahusikaje na mambo binafsi ya watu ambayo hayachangii ukuaji wa uchumi wa nchi?Hakuna hata haja ya Manaibu waziri kwa lipi haswa? Hiyo inshu angefanya mwenyekiti wa mtaa wa eneo hilo basi inatosha