Haya ngoja ninyamaze kabla ya waumini hawaja anza mapovuMsikufuru neno 'Mtume'. Kuna sikumtawaitahata majambazi, mitume.
anayelifungua tena muislamu, mtu ambaye haamini bibliaHuo utakuwa ni ukumbi siyo kanisa.
Hata siku moja, kanisa halifunguliwi bali huwa linawekwa wakfu au linabarikiwa. Na mambo hayo hayafanywi na viongozi wa kisiasa bali wale tu waliowekwa wakfu.
maboya anaongoza kanisa la calvary assemblies of God, sio arise and shineleo ndio najua hili kanisa lipo chini ya maboya.
Maboya Dastan au!!?leo ndio najua hili kanisa lipo chini ya maboya.
Mmiliki wake ni chawaanayelifungua tena muislamu, mtu ambaye haamini biblia
Mwamposa yupo smart pia watu ni wajingaHivi ni mwamposa ndo yupo smart au watu ndo wajinga sana..🤔
mwenye nacho anaongezewaWananchi wamesalitiwa,walikua wanalalamika njia imezibwa,sehemu ya watoto kucheza imechukuliwa,miundombinu ya maji imeharibiwa leo Rais anahusika na uzinduzi ama kweli maskini hana chake
Anafunga kadhaa anafungua Moja!!==
Kanisa la huduma ya Arise & Arise limezindua Hema lililogharimu jumla ya TZS15bn na kuajiri wafanyakazi 1,000 kabla na Wakakti wa Ujenzi wake.
Mnaendeleaje na mtaliki wako?.Hata picha ya kanisa hakuna, sijui tukueleweje ndugu yetu?!
Watu wanataabika kwa kukosa maarifa==
Kanisa la huduma ya Arise & Arise limezindua Hema lililogharimu jumla ya TZS15bn na kuajiri wafanyakazi 1,000 kabla na Wakakti wa Ujenzi wake.