Rais Samia akishiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa, Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe

Rais Samia akishiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa, Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe

Sitashangaa miaka 5 ijayo mwamposa akawa mbunge. Hii ni calculated move bahati mbaya ndani ya wakristo wafia dini akina katoliki na lutheran mwamposa anaonekana ni mjasiriamali wa dini kama alivyo dominick wa buza kwa mama kibonge maarufu kiboko ya wachawi.

Sasa hivi wachungaji binafsi na makuhani wengi wachaga na hata mwamposa aliibukia moshi kihuduma wachaga watu wa michongo ya pesa.

Sijui imekaaje kwa wale town planners hapo shule ya kawe primary and secondary. Hapo shule ya bweni ya.feza halafu kelele za maombi.usikukucha na mikesha ya mwamposa. Haijakaa sawa.

Mwamposa angefanya kama masanja angeenda goba akachagua bonde moja akaligeuza kanisa
 
Kukupigia hata kukusalimu?
NOt really, though she called one time kuomba tuhamishe shule mtoto, i said okay i will think about it,sikutaka kujua why!! Nikaa kimyaa, did nothing.

She then called again, kulalamika, the girl anashuka sana darasan maendeleo yake, anaomba nimsaidie awe sawa cz anasema ni mimi ndio huwa naweza ku deal nae kwenye aspect hiyo ya shule.

Nikasema okay, i will find a way, the nika sizi.

Juzi anapiga anasema watoto wanataka nije Dar niwapeleke saba saba, na nikaongea nao ofcz, nikawatukia tu hela,then kimyaa.

So kawaida kuwasiliana but mara nyingi, 98% ni watoto hunipigia kunieleza mahitaji ya shule sasa am not sure kama ndio anawatuma au lah, but mimi na stick kwenye my roles ,kuwa support cz are my kids, so regardless anawatuma or not, i just comply ma demand za watoto.

Nitaleta mrejeaho full, nikitulia. Maana nashindwa kujua nianzie wapi kuandika
 
Ninavyoona hii ni miradi ya wakubwa, kutakatisha hela
Lazima wamo wengi tu

Hivi na Mimi siwezi kupata shares kama nikiwekeza 500m za kibongo hapo

Najua ni ndogo sana kwa mtu kama huyu kumwambia na mimi niwekeze tu senti twangu
Return ntapata ngapi

Lazima kuna namna hapo
Hizi ni biashara tu kama biashara zingine

Nchi tajiri watu hawana busara
 
NOt really, though she called one time kuomba tuhamishe shule mtoto, i said okay i will think about it,sikutaka kujua why!! Nikaa kimyaa, did nothing.

She then called again, kulalamika, the girl anashuka sana darasan maendeleo yake, anaomba nimsaidie awe sawa cz anasema ni mimi ndio huwa naweza ku deal nae kwenye aspect hiyo ya shule.

Nikasema okay, i will find a way, the nika sizi.

Juzi anapiga anasema watoto wanataka nije Dar niwapeleke saba saba, na nikaongea nao ofcz, nikawatukia tu hela,then kimyaa.

So kawaida kuwasiliana but mara nyingi, 98% ni watoto hunipigia kunieleza mahitaji ya shule sasa am not sure kama ndio anawatuma au lah, but mimi na stick kwenye my roles ,kuwa support cz are my kids, so regardless anawatuma or not, i just comply ma demand za watoto.

Nitaleta mrejeaho full, nikitulia. Maana nashindwa kujua nianzie wapi kuandika
Tuna usubiri huo mrejesho.
Usisahau kuni tag.

Vitu mmeshagawana tayari kama alivyotaka? Au mambo ya mahakamani bado hayajaisha?
 
maboya anaongoza kanisa la calvary assemblies of God, sio arise and shine
kanisa la calvary assemblies of God askofu wake ni maboya, hilo kanisa la mwamposa lipo chini ya calvary assemblies of God na leo hii wakati wa uzinduzi Maboya ndio ametambulishwa askofu kiongozi juu ya mwamposa, ndiye aliyetoa neno na ndiye aliyezindua kanisa, yupo hapo hadi sasaivi amevaa magwanda, na amesema wakati wanaanz akanisa lao hilo la calvary walikiuwa na vijana wadogo wengi na mwamposa ni mmoja wapo. hayo ameyasema maboya mwenyewe.
 
Unazindua kanisa= kuzindua mradi wa kupigia pesa.

Kanisa/hekalu Lina utaratibu maalumu wa kulifungua lianze husuma rasmi. Ni viongozi wa ngazi za juu tu wa Imani husika ndio wanaoshughulika na tukio Hilo na siyo wanasiasa.
 
ila leo wahuni wote walikuwepo, wametuama pale mbele, hadi mzee wa upako a.k.a mzee wa bapa alikuwepo.
 
Tuna usubiri huo mrejesho.
Usisahau kuni tag.

Vitu mmeshagawana tayari kama alivyotaka? Au mambo ya mahakamani bado hayajaisha?
Mimi nilishamalizana na ishu muhimu za mahakam, sijafuata divorce tu, ila yeye ule moto wa mahakama hana tena, i dont know why!.

Kwakua yeye ndiO mdai katika kesi hii aliofungua, taratibu za mahakama zinamtaka (baada ya kuhukumu kutoka), aandike barua ya kukazia hukumu, kisha mahakama itupe barua ya kuonana ma mtathimin kwa ajili ya evaluation ya mali, kisha report irud mahakaman ambapo watatea dalali wa mahakam kufanya mnada wa mali.
Sasa hayo yoote hakuna hata 1 kafanya ,hukumu yake hajaifuata, nyumba milioacha imebaki inaoza yeye hakai maana alikimbilia kupanga mtaani alipoondoka, gari imebaki kwa washkaji tu nasikia iko juu ya mawe now, hakuna mgawanyo uliofanyika maana ni yeye anatakiwa ku initiate. Na mim kwakua sina shida nimetulia zangu kimyaa
 
Kwa hiyo mstaafu kila atakoalikwa lazima na yeye awepo, hao usalama wanaojitapa kumlinda hawatoshi? au mstaafu ndio anashika hirizi..!
 
Back
Top Bottom