Aisee, never knew this!!kanisa la calvary assemblies of God askofu wake ni maboya, hilo kanisa la mwamposa lipo chini ya calvary assemblies of God na leo hii wakati wa uzinduzi Maboya ndio ametambulishwa askofu kiongozi juu ya mwamposa, ndiye aliyetoa neno na ndiye aliyezindua kanisa, yupo hapo hadi sasaivi amevaa magwanda, na amesema wakati wanaanz akanisa lao hilo la calvary walikiuwa na vijana wadogo wengi na mwamposa ni mmoja wapo. hayo ameyasema maboya mwenyewe.
Gwaji changamkia fursaNi wakati wa gwajima na yeye azindue kanisa lake sasa. Amalizie ujenzi pale
kwa sababu nilikuwa siwaelewi wote wawili kumbe wapo kapu moja. hata hivyo, hadi wote wanaosimama wanasema hiyo ni ministry ya mwamposa na sio ya maboya, ndio cha kushangaza. hawa watu wamelichezea sana jina la "assemblies" na kufanay walokole wote kama waongo waongo na wanalitumia vibaya sana jina la kulola, kila anayesimama ili aaminiwe na wasikilizaji anamtanguliza kulola ambaye watu wengi walimwamini, pamoja na kwamba makanisa ya kulola na yao ni vitu viwili tofauti.Kwann unasema hivyo chief?
Hao ni waumini kama wengineOgopa sana kanisa linaloshabikiwa na wanasiasa.
Ningefurahi kama gharama kubwa kama hiyo ingetumika katika ujenzi wa hosipitali. Wachina wanatusanifu sana, wao ni teknologia sisi bwana asifiwe kwa wingi.Maskin oyeee...hongereni kwa kumchangia tajiri bilioni 15...
Kulola naye hakwepi lawama mkuu. Yeue ndio alianzisha hiz harakati za migawanyiko ya kanisa alipojazwa kichwa kuwa bila yeye hakuna Assembies (tag) sasa ule utengano ukiosababishwa na yeye kukiuka mamlaka ya kiuongozi chini ya askofu Lazaro ndio umezaa haya yooote.kwa sababu nilikuwa siwaelewi wote wawili kumbe wapo kapu moja. hata hivyo, hadi wote wanaosimama wanasema hiyo ni ministry ya mwamposa na sio ya maboya, ndio cha kushangaza. hawa watu wamelichezea sana jina la "assemblies" na kufanay walokole wote kama waongo waongo na wanalitumia vibaya sana jina la kulola, kila anayesimama ili aaminiwe na wasikilizaji anamtanguliza kulola ambaye watu wengi walimwamini, pamoja na kwamba makanisa ya kulola na yao ni vitu viwili tofauti.
Inaitwa calvary assemblies of God Arise and shine .nimelijua hilo leo piamaboya anaongoza kanisa la calvary assemblies of God, sio arise and shine
Kuna huduma za kiroho na kimwiliRubbish. Je kuna huduma ya hospital au shule hapo?
Lakini mtume paswi kuwa na kanisa wala kufanyia kazi mjini.Hongera sana Mtume Boniphace Mwamposa na huduma ya Arise and Shine. Hongera sana sadaka yangu.
kuna uwezekano mkubwa haujui mgogoro huo, ila lazaro na kulola wote kama wanadamu walikuwa na mapungufu though still Mungu aliendelea kuwatumia. walikuja kupatana baadaye na issue hiyo haina maana kujadili sasaivi.ukabila ulikuwepo, uhamisho wa mchungaji msukuma ilikuwa issue, kutokusamehe na kukaa chini kwa wote yalikuwa mapungufu. hata hivyo, hata wakati wa mitume migawanyiko ilikuwepo na wakati mwingine Mungu anairuhusu ili watu wasikae pamoja watawanyike kuanzisha huduma zingine ili kupanua huduma.Kulola naye hakwepi lawama mkuu. Yeue ndio alianzisha hiz harakati za migawanyiko ya kanisa alipojazwa kichwa kuwa bila yeye hakuna Assembies (tag) sasa ule utengano ukiosababishwa na yeye kukiuka mamlaka ya kiuongozi chini ya askofu Lazaro ndio umezaa haya yooote.
You are right, basi tusiwalaumu na hawa wa leo tukaona kama wanachezea u assemblies, Mungu atawasamehe na waokuna uwezekano mkubwa haujui mgogoro huo, ila lazaro na kulola wote kama wanadamu walikuwa na mapungufu though still Mungu aliendelea kuwatumia. walikuja kupakana baadaye na issue hiyo haina maana kujadili sasaivi.ukabila ulikuwepo, uhamisho wa mchungaji msukuma ilikuwa issue, kutokusamehe na kukaa chini kwa wote yalikuwa mapungufu. hata hivyo, hata wakati wa mitume migawanyiko ilikuwepo na wakati mwingine Mungu anairuhusu ili watu wasikae pamoja watawanyike kuanzisha huduma zingine ili kupanua huduma.
Vyote vinaenda sambamba. Mchungaji yu smart ukijumlisha na ujinga wa watu ni mwendo wa kupiga hela.Hivi ni mwamposa ndo yupo smart au watu ndo wajinga sana..🤔
Watu wanatapeliwa kwa kukosa ufahamu.Kanisa halizinduliwi bali huwekwa wakfu kwa maombi ya viongozi wa dini ila hizi brass band za polisi ndo umemfunua Mwamposa kama mtumishi wa shetani na si wa Mungu.
Watu ndo wajingaHivi ni mwamposa ndo yupo smart au watu ndo wajinga sana..🤔