Haya makanisa yako chini ya TAG?kanisa la calvary assemblies of God askofu wake ni maboya, hilo kanisa la mwamposa lipo chini ya calvary assemblies of God na leo hii wakati wa uzinduzi Maboya ndio ametambulishwa askofu kiongozi juu ya mwamposa, ndiye aliyetoa neno na ndiye aliyezindua kanisa, yupo hapo hadi sasaivi amevaa magwanda, na amesema wakati wanaanz akanisa lao hilo la calvary walikiuwa na vijana wadogo wengi na mwamposa ni mmoja wapo. hayo ameyasema maboya mwenyewe.