Msimu wa uchaguzi huu mkuu!Rais wa nchi anadilije na vitu vidogo kama hivyo?
Msimu wa uchaguzi huu mkuu!Rais wa nchi anadilije na vitu vidogo kama hivyo?
Inasikitisha mkuuSishangai, ndege wanaofanana huruka pamoja. Amekuwa mtu wa kushiriki katika mambo madogo madogo kama matamasha ya muziki, tuzo za wasanii na wachekeshaji, na kampeni zisizo na uzito wa kitaifa kama 'Kitumbua cha Mama' au 'Mama Ongea na Mwanao'. Kuanzia kampeni za nishati safi ya kupikia hadi kupokea tuzo zisizo na mchango wa moja kwa moja kwa masuala nyeti ya taifa, amekuwa akionesha mwelekeo wa kutanguliza maigizo badala ya majukumu ya msingi. Kwenye matukio ya kitaifa yenye umuhimu mkubwa, amekuwa akionekana kuyumba katika hotuba zake, jambo linalodhihirisha udhaifu wake katika kuchakata na kuelewa taarifa nyeti zinazohusu mustakabali wa nchi.
Kwahy Kila mchungaji akizindua kanisa lake Rais aende tu?TEC, CCT, BAKWATA walishawai kumualika sio petty issues, ila kwa Buldoza Mwamposa petty issues.
Rubbish. Je kuna huduma ya hospital au shule hapo?
==
Kanisa la huduma ya Arise & Arise limezindua Hema lililogharimu jumla ya TZS15bn na kuajiri wafanyakazi 1,000 kabla na Wakakti wa Ujenzi wake.
Wenye akili wamemtenga ndio maana anatafuta matapeli wa kupiga nao picha
Laiti ningemjua mganga wake nami ningefungua kanisa langu.Hivi ni mwamposa ndo yupo smart au watu ndo wajinga sana..[emoji848]
Huku mwingine anafungiwa,mwingine anazinduliwa Kwa ukwasi==
Kanisa la huduma ya Arise & Arise limezindua Hema lililogharimu jumla ya TZS15bn na kuajiri wafanyakazi 1,000 kabla na Wakakti wa Ujenzi wake.
Mwamposa ndo kampeni meneja wake upande wa wakristoRais wa nchi anadilije na vitu vidogo kama hivyo?
Kule Kwa Gwajima waumini wamefunga iwe vinginevyoMama mtu wa dini sana, Mungu ambariki
Ivi kanisa hili limejengwa katika eneo la zamani la kiwanda kilichokufa, Tanganyika Packers, ambacho kilikuwa kiwanda cha kusindika nyama nchini !?. Anyway, kwa mtazamo wangu, haya yote ni viwanda tu vya aina tofauti. Kiwanda hiki kipya ni cha kukusanya fedha kutoka kwa watu wasiojiuliza mara mbili. Unfortunately, kimefunguliwa rasmi na Rais wa nchi.==
Kanisa la huduma ya Arise & Arise limezindua Hema lililogharimu jumla ya TZS15bn na kuajiri wafanyakazi 1,000 kabla na Wakakti wa Ujenzi wake.
Weka picha basi au video tuone huo uzinduzi==
Kanisa la huduma ya Arise & Arise limezindua Hema lililogharimu jumla ya TZS15bn na kuajiri wafanyakazi 1,000 kabla na Wakakti wa Ujenzi wake.
Ajabu kabisaHivi imekuwaje akaruhusiwa kujenga kanisa kwenye Ardhi ambayo ni Mali ya Serikali.
Au serikali imemkodishia ?
Unaenda kutibiwa hospital halafu unapeleka asante kwa Mwamposa azifikishe kwa mungu (sio Mungu).Rubbish. Je kuna huduma ya hospital au shule hapo?