Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
😂😂😂 Yuko bwaxy ....Kavaa miwani tinted kuzugia
😂😂😂 Yuko bwaxy ....Kavaa miwani tinted kuzugia
Rais Samia kushiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa leo Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe - Dar es Salaam.
Tanzania inahitaji vijana wengi wa aina ya Mwamposa, wenye fikra pevu na mawazo mtambuka, wanaoweza kukusanya pesa ndogo ndogo kutoka kwa Watanzania wengi.Mwamposa ni tapeli la kidini ambaye hawezi kudumu muda mrefu na umaarufu alio nao sasa.
Hana uwezo wa kudumu kwa muda kama akina Kakobe au Mwingira.
Utapeli wa Mwamposa uko wazi mno.
Anazingua Sana huyu dingiKikwete tutamshangaza mwaka huu na atajiona ni mstaafu mpumbavu.
Sema ashavuruga kwa Gwajima lazima atakatishe kwengine.Rubbish. Je kuna huduma ya hospital au shule hapo?
Ningekua ni Mimi ndo yule mume wa bimkubwa angekua ashakula ShabaRoommate wake
Wakati wa mechi ya Simba mlimsema ni nabii wa ukweli, Leo kawa tapeli. Aisee Nyumbu mna akili kama za ngisi. NyambaffCCM kwa sasa ipo tayari kumtumia kila tapeli, alimradi kama wanaamini ana uwezo wa kusaidia kuhalalisha uchaguzi haramu, uchaguzi unaowanyima wananchi kuwa na uamuzi wa nani awe kiongozi wao.
😀Hao waumini pia si wanazo akili timamu?Hivi unajua mwamposa anaingia watu wangapi mle katika misa moja? Na je kama akiamua kuwapigisha kura za ndio kimya kimya, unafikiri zitavunwa ngapi? 😁
Mahusiano haya ya naweza kuwa Mkakati, usichukulie maza poa.... Hapandi pasipo vuna bana... 😁 😁
InasikitishaTani ninacho mshangaa huyu bi chaudele kaona mwamposa ni bora kuliko cct
Kweli bara la Africa limenyimwa viongozi wenye maono! Yaani kwenye hii karne ya 21 kuna viongozi wanapata kabisa ujasiri wa kwenda kuzindua majengo ya kuendeshea utapeli kwa wananchi wao!==
Kanisa la huduma ya Arise & Arise limezindua Hema lililogharimu jumla ya TZS15bn na kuajiri wafanyakazi 1,000 kabla na Wakakti wa Ujenzi wake.
Hii kauli ni nzito sana hii sio nyepesi km ulivyoitoa hata yeye akisoma ataogopaWenye akili wamemtenga ndio maana anatafuta matapeli wa kupiga nao picha
Huu ni msumali wa moto ni km ameenda kuzindua Night Club?Huo utakuwa ni ukumbi siyo kanisa.
Hata siku moja, kanisa halifunguliwi bali huwa linawekwa wakfu au linabarikiwa. Na mambo hayo hayafanywi na viongozi wa kisiasa bali wale tu waliowekwa wakfu.
Wanatia huruma sanaKina mama na baadhi ya wadada au wanawake walio wengi hasa wenye vipato vya chini huwaambii kitu kuhusu hapo,
Wengine wameshajiungamanisha kumfungua mumewe 😂
Rais Samia kushiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa leo Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe - Dar es Salaam.
Unakaa na watu ambao hawazalishi chochote ni hatarikweli