Rais Samia akishiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa, Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe

Rais Samia akishiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa, Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe

Huduma ya kihospitali ndiyo inayofanyika hapo kwani anaponya maelfu ya wagonjwa peke yake, kusanya hosipitali zote nchini haziwezi kumfikia kwenye tiba ya papo kwa papo bila gharama.
Acha uongo
 
We unaumwa, we ndio takataka tena iliyooza
Unatetea nini hapo sasa hautaki kuambiwa ukweli? Unatembea kwa Miguu kuhangaika kwenda kwenye Hema yeye anatembelea ndinga kali kwa pesa iliyochangwa na wewe nani fala hapo?
 
Hivi mpaka leo bado mnajiuliza tu Mwamposa ni nani!?
 
Muongo mimi! Kynasiku wewe umewahi kukanusha kuhusu wale maelfu wanaoo ekana wakiponywa! Serikali imethibitisha kuwa wanaponywa ndiyo sababu rais kaenda kuzindua hospitali mbadala hiyo ya mtume Mwamposa.
Hii Nchi ina wajinga wengi sana kubabek zenu malofa kabisa km alivyowaita Hayati BWM
 
Hivi mpaka leo bado mnajiuliza tu Mwamposa ni nani!?
Mwanachama wa CCM mwenye kadi ya Chama na anaefanya shughuli za Chama in details ni pandikizi la Mfumo, shughuli kuu ni kuwapumbaza wajinga wananchi masikini wasiihoji Serikali kuhusu mambo mbalimbali ila tu awaambie wamerogwa, wana mapepo, wana majini, hawana nguvu za kiroho awasalishe Baba Yetu mara 100 waende wakachukue maji na mafuta ya buku buku ili wapone. Kiufupi anawatisha wajinga wajinga nao wajinga wanajaa kwenye mfumo wanaenda anawapiga kitu ndani ya box.
 
Back
Top Bottom