Rais Samia akishiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa, Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe

Rais Samia akishiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa, Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe

Sasa ety Kuna mama mmoja Juzi anaumwa presha ipo juu hata kuhema shida ety anaacha kutumia dawa, kisa ajipake mafuta ya mwamposa

Hivi unaona ni akili hiyo ??
Ni kupagawa na kuchanganyikiwa na maisha tu mkuu, maana aahamini km kweli yeye anaweza kuugua presha anataka apone kwa miujiza ya siku moja tu
 
Wamebomoa kiwanda wakajenga kanisa la kuombea watu wapate ajira na mambo yao mengi ya kiuchumi yanyooke 🔨
 
Ni kupagawa na kuchanganyikiwa na maisha tu mkuu, maana aahamini km kweli yeye anaweza kuugua presha anataka apone kwa miujiza ya siku moja tu
Mpaka waje waamini washalia

Unajua kipindi maa Rwakatare yupo, watu walimuamini hv km mwamposa na alipendwa yule mama so poa kabisa,

Angalia baada ya kufa kaenda na mlima wa moto,

Yaani siku hz hausikiki, hata ukitamkwa haushituki,

Sasa hawaelewi kuwa mwamposa naye ni binadamu kama wao ?

Mm naweza sema Ibada zake sio mbaya maak ndo walivyo amini, Ila waamini wake ndo wanafanya aonekane wa hovyo sana,
 
Jamaa anaecheza na upepo unavyovuma ni mtumbuizaji ndio maana wadau wanamfananisha na Wasanii wa Bongo Fleva
 
Jamani mwacheni Mwamposa, nchi hii tunaishi kiujanja ujanja tu, yeye anatusua huko na kuna wengi wanatusua ccm.

Sioni kwanini yeye aonejane mbaya, waumini hawalazimishwi kutoa pesa.
Mlima wa moto kwa Lwakatare walifanya hivyo, akaupuga mwingi na moto wa kusulisuli.

EFATA yeye alutaka kuanzisha Bank, mwendazake akamshitukia lakini alikywa anaelekea kuunda serikali yake.

Kakobe naye alizipiga!sana enzi zake.

Bila kumsahau Gwajima Naye viwanja hivyo vilimtoa, mpaka alipotaka kuunda serikali wakampiga tanji.

Kama tusivyo ilaumu ccm, bali machawa na wananchi wajinga, mwamposa asilaumiwe kuna waumini akili zao zinashida.
 
Ni wakati wake huu
Huu upepo utapita tu

Ova
Jamaa anapiga pesa na anaendelea kufungua viwanda tu kisha anawauzia watu wake si umesikia kaajiri watu 1000 tasrimu na wote anawalipa kila mwisho wa mwezi kwa kutumia michaango ya sadaka za kujimaliza
 
Wajinga si wengi
Wanategemea miujiza
Hakuna cha miujiza watu wafanye
Kazi ohooo

Ova
 
==
Kanisa la huduma ya Arise & Arise limezindua Hema lililogharimu jumla ya TZS15bn na kuajiri wafanyakazi 1,000 kabla na Wakakti wa Ujenzi wake.
Kanisa linazinduliwa na mtu asiye kiongozi wa dini! Kwahiyo amelitakasa yeye ili litumike? Kwa kawaida kila kitu kimikacho kwa ibada kuanzia jengo, samani na kila kitu kitakachotymika kwa ibada lazima kitakaswe kwa sala maalum na kiongizi wa kanisa na si mtu yeyote mpitanjia.
 
Jamaa anapiga pesa na anaendelea kufungua viwanda tu kisha anawauzia watu wake si umesikia kaajiri watu 1000 tasrimu na wote anawalipa kila mwisho wa mwezi kwa kutumia michaango ya sadaka za kujimaliza
Hao 1,000 ni walinzi pamoja na wale wanaowaokota wanaoponywa.
 
Back
Top Bottom