Boniface Mwamposa Mchawi nambari moja Africa Kwa sasa==
Kanisa la huduma ya Arise & Arise limezindua Hema lililogharimu jumla ya TZS15bn na kuajiri wafanyakazi 1,000 kabla na Wakakti wa Ujenzi wake.
Tatizo ni " wenye kauli" shairi hili nilisoma miaka mingi sana iliyopitaSitashangaa miaka 5 ijayo mwamposa akawa mbunge. Hii ni calculated move bahati mbaya ndani ya wakristo wafia dini akina katoliki na lutheran mwamposa anaonekana ni mjasiriamali wa dini kama alivyo dominick wa buza kwa mama kibonge maarufu kiboko ya wachawi.
Sasa hivi wachungaji binafsi na makuhani wengi wachaga na hata mwamposa aliibukia moshi kihuduma wachaga watu wa michongo ya pesa.
Sijui imekaaje kwa wale town planners hapo shule ya kawe primary and secondary. Hapo shule ya bweni ya.feza halafu kelele za maombi.usikukucha na mikesha ya mwamposa. Haijakaa sawa.
Mwamposa angefanya kama masanja angeenda goba akachagua bonde moja akaligeuza kanisa
Maskin oyeee...hongereni kwa kumchangia tajiri bilioni 15...
Wale wana ChademaKule Kwa Gwajima waumini wamefunga iwe vinginevyo
Leo hajapiga nyagi ?Mzee wa upako kapewa nafasi ya kuongea amesema OCTOBER TUNA TICK
Rais Samia kushiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa leo Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe - Dar es Salaam.
WatanzaniaWale wana Chadema
Achana nap, wale hawana akiliWatanzania
Kura ngapi pale atapata kwa mfanoRais wa nchi anadilije na vitu vidogo kama hivyo?
Rais Samia kushiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa leo Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe - Dar es Salaam.
Unaona ni vitu vidogo, yeye kuna kitu kikubwa anakiona.Rais wa nchi anadilije na vitu vidogo kama hivyo?
Kavaa miwani tinted kuzugiaLeo hajapiga nyagi ?
Rais Samia kushiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa leo Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe - Dar es Salaam.
Roommate wakeNje ya mada
KIKWETE amehudhuria Kwa mualiko ghani?
Alafu kwanini Kila tukio alipo mama na yeye lazima anyapienyapie??
Tani ninacho mshangaa huyu bi chaudele kaona mwamposa ni bora kuliko cctRais ni mtu mkubwa, hizo petty issues angewatuma hata manaibu waziri, Kuna mambo mengi sana ya kushughulikia katika nchi
Kikwete tutamshangaza mwaka huu na atajiona ni mstaafu mpumbavu.Nje ya mada
KIKWETE amehudhuria Kwa mualiko ghani?
Alafu kwanini Kila tukio alipo mama na yeye lazima anyapienyapie??
Hivi unajua mwamposa anaingia watu wangapi mle katika misa moja? Na je kama akiamua kuwapigisha kura za ndio kimya kimya, unafikiri zitavunwa ngapi? 😁Rais ni mtu mkubwa, hizo petty issues angewatuma hata manaibu waziri, Kuna mambo mengi sana ya kushughulikia katika nchi