LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Sijajua anaendeleaje huko aliko lakini mimi niko salama mkuuMnaendeleaje na mtaliki wako?.
Sijajua anaendeleaje huko aliko lakini mimi niko salama mkuuMnaendeleaje na mtaliki wako?.
BruhHata picha ya kanisa hakuna, sijui tukueleweje ndugu yetu?!
Ubuyu hautoshi mkuu,Sijajua anaendeleaje huko aliko lakini mimi niko salama mkuu
Huwa unafurahisha sana Dokta the way unakumbushi, mo maneno mengi ila unajua nimeelewa unamaanisha nini !!😂Bruh
Hawez mkuu trust me. Na kama itatokea akafanya hilo basi tu assume muda bado sana ,maana ndio kwanza ndio miezi 9 sasa toka asepe na mimi kuhama kabisa JijiniUbuyu hautoshi mkuu,
Kwani bado hajataka kujirudi musamehane mlee watoto pamoja?
Kukupigia hata kukusalimu?Hawez mkuu trust me. Na kama itatokea akafanya hilo basi tu assume muda bado sana ,maana ndio kwanza ndio miezi 9 sasa toka asepe na mimi kuhama kabisa Jijini
Arise And Shine==
Kanisa la huduma ya Arise & Arise limezindua Hema lililogharimu jumla ya TZS15bn na kuajiri wafanyakazi 1,000 kabla na Wakakti wa Ujenzi wake.
Hahaha napenda kusikia chochote kitu, inanipa nami kujifunza bhn tukiingia huko tukiona namna gani unapata njia 😂Huwa unafurahisha sana Dokta the way unakumbushi, mo maneno mengi ila unajua nimeelewa unamaanisha nini !!😂
Kwa upuuzi wa maji ya upako,sibora lingejenga hata shule na hospital,minizi ya Imani inashida==
Kanisa la huduma ya Arise & Arise limezindua Hema lililogharimu jumla ya TZS15bn na kuajiri wafanyakazi 1,000 kabla na Wakakti wa Ujenzi wake.
Ni kituo cha kukusanyia hela za wajingaRubbish. Je kuna huduma ya hospital au shule hapo?
Mpaka mal...to? Hii sasa kali duhAlipo Samia tupo naye.
Soon chiefHahaha napenda kusikia chochote kitu, inanipa nami kujifunza bhn tukiingia huko tukiona namna gani unapata njia 😂
Hakuna kifo kututenganisha hapa
anayelifungua tena muislamu, mtu ambaye haamini biblia