Rais Samia akiwa na kitukuu cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere

Rais Samia akiwa na kitukuu cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
SSH amemtembelea Mama Maria Nyerere leo nyumbani kwake leo December 6,2021

FB_IMG_16387436741019613.jpg
 
wazanzibari wako more than 1 million ila wanapewa 21% ya ajira zote bongo sisi tuko 65 million ....Afu kichekesho ni kuwa sisi hatuwez pata ajira kwao zanzibar sababu ni wa Tz bara.

ila sisi wadanganyika jmn!!
hii nchi inahitaji katiba kwakweli
Mediocre thinking and nonsense kunea wivu Zanzibar kwa trivial issues. Fanya kazi kijana acha undezi
 
wazanzibari wako more than 1 million ila wanapewa 21% ya ajira zote bongo sisi tuko 65 million ....Afu kichekesho ni kuwa sisi hatuwez pata ajira kwao zanzibar sababu ni wa Tz bara.

ila sisi wadanganyika jmn!!
hii nchi inahitaji katiba kwakweli
Anapewa miaka mingine 10 apende asipende
 
Mediocre thinking and nonsense kuiinea wivu Zanzibar kwa trivial issues. Fanya kazi kijana acha undezi
Mama samia tumpe miaka mingine 10 apende asipende ccm hoyeeeeeee
 
wazanzibari wako more than 1 million ila wanapewa 21% ya ajira zote bongo sisi tuko 65 million ....Afu kichekesho ni kuwa sisi hatuwez pata ajira kwao zanzibar sababu ni wa Tz bara.

ila sisi wadanganyika jmn!!
hii nchi inahitaji katiba kwakweli
Kwa akili yajo utamuonea wivu mkeo kwa kubeba ujauzito tena kwa miezi tisa
 
Mama ana mtoto mzuri jamani, inabidi kijana wangu akaunganishe damu
 
Back
Top Bottom