GE2025 Rais Samia akiwasili kwa Bashasha na Tabasamu Mlimani City katika Harambee ya Kuichangia CCM Billion 100. Watu Waandaa Maburungutu ya Pesa kuimiminia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Hivi Ndivyo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Alivyowasili katika Ukumbi wa Mlimani City katika Shughuli ya Harambee Kubwa kwa ajili au maalumu au Mahususi kwa ajili ya kuichangia CCM kitita au Kiasi cha Billion 100 kwa ajili ya Kampeni.

Ambapo taarifa zinaeleza na kudokeza ya kuwa watu wana kiu kubwa sana ya kuichangia CCM na kuwa sehemu ya historia ya kuiwezesha CCM kupata pesa za kampeni.

Ambapo inaelezwa ya kuwa watu wameandaa Maburungutu na vitita vizito vizito kwa ajili ya kuimiminia CCM. Hii inatokea kutokana na mfumo mzima na uendeshaji wa CCM. Ambapo chama kimefanikiwa kujiweka mikononi mwa wana CCM na wote wenye mapenzi mema. Ambapo kila mmoja anajiona ni mshiriki na mhusika wa CCM na ndio maana watu wana muamko na kiu kubwa sana ya kushiriki shughuli zote zinazoihusu CCM.

Nguvu ya CCM ni wanachama wake. Ikumbukwe ya kuwa CCM ina wanachama zaidi ya milioni 13. CCM ni chama ambacho kila mmoja anatamani kukichangia na kukiwezesha . Kwa kuwa kila mmoja anatambua CCM ndio bima ya Maisha yao,ndio chama chenye uchungu na Maisha ya watu,ndio chama chenye kuwawezesha watu kiuchumi ,ndio chama chenye kubeba matumaini na hatima ya Taifa letu na ndio chama Pekee chenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ngoja niachanr na raisi niulize kua ccm inapambana na chama pinzani kipi wakati huu manake sioni kabisa upinzani au mimi ndio sina macho?
 
Zile 700b zenyewe zitafanya kazi gani?
 
Hatimaye tone tone yatinga kibabe CCM.
 
 
Tapeli likiwasili kwa bashasha. Shetani wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Wakupe na Wewe,ununulie trakta la kulimia,tububujikwe na machozi ya furaha!
 
Punguza kidogo huo ujinga kaka, mbona una-behave kama mtoto wa kike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…