masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Mkuu hapa hapa duniani unavuna ulichopanda.Haache wajifariji huyo bibi yao ni kama nguo iliyoisha hakuna mtu anahangaika nayo! Mahaters wa Magufuli tu hao hawana jipya!
Hakuna cha haters wala nini, na tunajua mnachukia sana kwa mama kupendwa na wananchi wa aina zote!
Mama an upendo na Mungu mbariki kwa hilo.