Rais Samia akiweka jiwe la msingi katika jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya

Haache wajifariji huyo bibi yao ni kama nguo iliyoisha hakuna mtu anahangaika nayo! Mahaters wa Magufuli tu hao hawana jipya!
Mkuu hapa hapa duniani unavuna ulichopanda.
Hakuna cha haters wala nini, na tunajua mnachukia sana kwa mama kupendwa na wananchi wa aina zote!
Mama an upendo na Mungu mbariki kwa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…