Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Wivu tu ndio unaokusumbua wewe. Naona unaumia sana unapoona mapokezi mazito na ya heshima anayopewa na kupatiwa Rais wetu.Majizi ya Ccm yanazunguka na watu kwenye mabus yanahutubia watu haohao kila mkoa
Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Ni kipenzi cha watanzaniaChawa mtiifu, hujui kuwa Jamii Forum imefungwa kwa Tanzania kwanini unatumia V.P.N kueneza propaganda zako wakati mmeambiwa msubiri siku 90?..
Inahitaji moyo mgumu sana kuutetea huu uongozi wa samia hata chawa wenyewe mnaujua ukweli sirini ktk mioyo yao lkn adharani mnajifanya kupiga mapambio.
Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo Viroja.Muwe mnaona hata aibu basi kutuletea haya mtapishi yenu humu jukwaani. Mnaifungia jamii forums kwa hila, halafu kila siku ni kutuletea tu matapishi!
Pelekeni matapishi yenu huko kwa wajinga wenzenu. Humu hamtakiwi kuleta pua zenu tangu siku mlipoifungia jamii forums. Hamna kabisa mishipa ya aibu.Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo Viroja.
Ukitaka kujua namna HALISI (sio propaganda) ya sa100 anavyokubalika muambie/mshauri afanye hv kwenye angalau moja tu ya mikutano yake,Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Ni kipenzi cha watanzania
Kwani wasanii siyo wapiga Kura?Ukitaka kujua namna HALISI (sio propaganda) ya sa100 anavyokubalika muambie/mshauri afanye hv kwenye angalau moja tu ya mikutano yake,
1) asitumie msanii hata mmoja kwenye kampeni.
2) asisombe raia hata mmoja kwenye mkutano wake
Yaani yawekwe matangazo tuu ya mkutano wake kisha aende akahutubie uone kama nyomi itakuwepo hata robo ya hao watu anaowaona sasa mkutanoni!!!.
Kwani wasanii siyo
Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu vile.Mbona huelewi ww mkulima!.
Watu wengi hasa vijana wadogo wanaenda mkutanoni kuona show za bure...sio kweli kwamba wamevutiwa na huyo mama yako!.
Vipi pressure yakoNdugu zangu Watanzania,
Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Amekoshwa ,kufurahishwa na Kuguswa sana na mapokezi mazito na ya heshima aliyoyapata na kupewa kutoka kwa maelfu kwa maelfu ya wananchi wa Manyara hususani Hanang ambao wamefurika na kumiminika kama mchanga wa Baharini kwa ajili ya kuweza kumpokea na kumsikiliza.
Ambapo Rais na Mama yetu Mpendwa kwa unyenyekevu mkubwa kabisa kama ilivyo kawaida yake ya kujishusha kwa Wananchi ameahidi kuwatumikia kwa uaminifu , unyenyekevu na weledi wa hali ya juu sana katika kuwaletea maendeleo.
Amesema ya kuwa mapokezi makubwa ambayo amekuwa akiyapata ni ishara ya kukubalika na imani kubwa waliyonayo wananchi kwa chama cha Mapinduzi yaani CCM. Na kuahidi kuendelea na kazi ya kuwaletea maendeleo wananchi wote kwa kupanga na kutekeleza mipango ya maendeleo itakayogusa maisha ya kila mmoja Pasipo kumuacha mtu yeyote yule nyuma.
Ikumbukwe ya kuwa Mama na Rais wetu na Mgombea wetu kupitia CCM yupo katika kampeni kwa mikoa ya kanda ya kaskazini. Ambapo tangia kuanza kwa kampeni hizo za Urais na kupita katika mikoa mbalimbali Bara na visiwani amekuwa akipata mapokezi makubwa na ya heshima kubwa sana kutoka kwa watanzania.
Ambapo kila mkutano unavunja rekodi ya mkutano uliotangulia. imefikia hatua ni kama watu wanashindana kuhudhuria katika mikutano yake . Maana watu wanafurika utafikiri Tanzania nzima wamekutanika eneo moja tu alipo Rais Samia. Kinachoendelea kwa sasa ni Mahaba na upendo mkubwa sana wa watanzania wanaompatia na kumuonyesha Rais Wetu.
Kwa hakika Mama ni mtu na kiongozi wa watu anayependwa ,kukubalika na kuaminika sana machoni na mioyoni Mwa Watanzania. Hii ni kwa kuwa ndani ya muda mfupi wa uongozi wake ameonyesha uwezo mkubwa sana wa kiuongozi,Kugusa maisha ya watu,kuleta maendeleo kila eneo,kujenga miradi ya maendeleo kila sehemu , kuinua uchumi na kujenga uchumi jumuishi au Shirikishi,kuwawezesha watu kutimiza ndoto zao pamoja na kujenga Tanzania yenye kuleta matumaini kwa kila mmoja mwenye kufanya kazi na kujituma kwa bidii.View attachment 3482877View attachment 3482878
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Zuzu mkubwa wewe,hakuna mnyiha zuzu kama hili jamaaNaona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu vile.
Wewe mbwiga wewe siku ikifika lazima nizae na weweNdugu zangu Watanzania,

Huna akiliWewe mbwiga wewe siku ikifika lazima nizae na wewe
Hamzidi huyo mgombea wako ambaye alipata zero matokeo ya form 4!.Huna akili