Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

We jamaa toka lini ukampangia mshahara sekta binafsi,we inaonekana ni kilaza.
Siwezi kujibishana na KILAZA.
Ila tambua Sekta binafsi nayo wanawekewa Kima cha CHINI na SERIKALI na HAWAJIPANGII kama unavyojidanganya.
Duniani kote GOVERNMENT NDIO REGULATOR WA MISHAHARA KWA SEKTA ZOTE.
UNASET KIWANGO CHA CHINI KUTOKEA HAPO NDIO VIWANGO VYA JUU UTAZINGATIA KIPATO CHAKO.
WAPI ULIONA MUAJIRIWA WA SEKTA BINAFSI ANALIPWA CHINI YA 200K?? SIO KIBARUA MUAJIRIWA.
 
Somo la inflation ni kubwa sana siwezi kuandika hapa. Kupanda kwa bidhaa ni inflation pia sababu ni nyingi, uhaba wa bidhaa, gharama za uzalishaji au upatikani wa mali ghafi sababu nyingi ila kuna ile pesa ni nyingi nje na mnagombania bidhaa zilezile
 

Kama watapewa wote maana yake kila mtumishi kaongezewa Tsh 38,0000/=[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hebu ngoja hapa:-
23.3/100=0.233
0.233×270000/= =62,910
KWA hiyo:-
270000+62910=332,910/=
KWA kima cha CHINI hicho!!
Nakaribisha masahihisho kama yapo!!
Mimi Raisi ajaye nimeona hivi KWA lima cha CHINI ya wewe je!!?
Fomula ya kukokotoa asilimia 23 ya kima Cha mshahara ipo Hivi
Kima Cha chini Cha mshahara ni 300000.
23/100x300000=69,000/=
Hivyo 69000-18% ya makato yote utaona umeongezewa sh.ngapi?
18/100x69000=12420.
Sasa 69000-12420=56580.
Hivyo Basi nyongeza ya mashahara ni 56580 kwa kila mtumishi.
Hivyo tutegemee nyongeza ya 56000 kwenye mshahara.
Ndugu zangu msije pigia 23%ya basic eti ndio nyongeza mtakuta Julai Ni tofauti kabisa.
 
Alafu ukute na wewe una familia na inakutegemea kabisa
 
Kwan hiyo 18% miaka ya nyuma haikuwepo😅😅😅
 
We ndo umeongea sawa ila mijitu mingine mingi humu haijaenda shule

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Wale waliokuwa wanamdanganya mwenda zake bado wapo. Sirro naye yumo
 
Serikali ambayo haina viwanda haiwezi controls kushuka kwa vitu. Pesa inayolipwa kuagiza vitu ni nyingi na viwanda vilivopo tz ni kanjanja havikidhi mahitaji na niwauni. Fikiria vifaa vya ujenzi tyres na gypsum zinazqlishwa hapa lakini bei inakaribiana
 
Mishahara inaongezwa kwa tija kwa nchi inayoendeshwa kwa mikopo.Sasa hivi kila kitu kitapanda kuanzia kodi,chakula hiyo nyongeza haitasaidia kitu
 
Mnabishana bure tu,,,, Watumishi mishahara ikiingia mtatujulisha mmeongezewa kwa asilimia ngapi....!???
 
Ni miaka mingi imepita sasa, ongezeko la mshahara lilipaswa kuwa angalau 50% huko.
 
Hakuna serikali inakopa kwa kulipa mshahara ukifika hapo ujuwe nchi imefilisika sio kweli ni kama wewe ukikopa ili upate chakula ujuwe umefilisika. Hebu nikatizame kama kuna bank inakopesha kwa ajili ya ugali.
Kikwete alikua anafanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…