Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Uliwaambia ukweli, Ila wengi akili hawana.Je wewe ni mtumishi wa serikali? Maana kuongeza asilimia za mshahara kwa kima cha chini hakujaanza mwaka huu.
Kumbuka hata kwenye kodi ilipunguzwa kwa wenye kima cha chini ikawa asilimia 8 kwa wenye kima vha chini kama sijakosea wakati ambao hawapo kwenye kima cha chini wanalipa zaidi ya hapo.
Hivyo wanapotumia kima cha chini wana sababu zao za kimahesabu. Hii 23% sio flat rate na utakuja kukiri mwenye hapa.
Kubisha mie siwezi.
Vipi huko?Hapa kwa kima cha chini ni 23. Ila kwa waliovuka kima cha chini wamepugiwa hesabu zingine.
Yaani 1.9 trillion iwe imeongezwa kwa waliokuwa wanalipwa laki 3 kamili tu inakuja?
Watu wanajifanya wajuaji sasa tumeelewanaUliwaambia ukweli, Ila wengi akili hawana.
🤣🤣🤣🤣Naelewa nachosema, nchi zote Duniani hutumia hiyo standard katika kuset mishahara. Unapongeza mshahara huwezi sema kila kada itakuwa hivi na hivi, Unataja kwa ujumla sasa kima cha chini kitapanda kwa % kadhaa, hapo una maanisha wengine wataongezeka kutokana na asilimia hizo hapo.
SERIKALI INAPANDISHWA MISHAHARA KWA WATUMISHI WAKE WOTE KWA UJUMLA NA RATE SAWA. MTATOFAUTINA POSHO KULINGANA NA TAASISI.
Wewe akili zipo likizo.hiyo ajira ulipataje?Basic salary yako itakuwa hivi.
940,000 + (940,000 x 23.3%) = 1,159,020
Kutokea hapo sasa utakata
NHIF
PSSF
CWT/ TALGWU etc
PAYE nk
Mfano hai sasa.
BASIC SALARY ... 1,159,020
PSSF 5% (57,951)
INCOME TAX (128,000 + (101,069 × 30%)) = (158,320.7)
NHIF 4% ..............
TALGWU/CWT 5% ..............
HAPO UTAONA JINSI MSHAHARA UTAVYOKATWA PAKUBWA ZAIDI.
NB nimeashume tu haudaiwi HESLB, BENKI wala SACCOS yoyote. Na hizo % za NHIF na CWT na vyama vya wafanayakazi sina uhakika kama zinafanana.
Utajionea mwenyewe jinsi hiyo 23.3% itakavyoenda kukupasua.
Akili hizi ni hasaraNYONGEZA HIYO NI KWA WOTE 23.3% katika basic Salary.
Take home itabadilika kutokana na viwango vya kodi.
Ntu Kama huyo aliajiriwa vip? Inawezekana ndio maana hatuna Maendeleo hadi leo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui kusoma, mimi nilinukuu tangazoNimekuja kugundua walimu wengi hamjui kusoma na kuelewa chochote
Tell herSijui kusoma, mimi nilinukuu tangazo
Unajionaje jinsi ukivyo msukule?Sukuma Gang hutawaona hapa.. samia anafanya ambayo mungu wao alishindwa kwa miaka 6 halafu bado Yanamuabudu kama Wafuasi wa nabii Zumarid
Wale waliokuwa nawakejeli sasa vipi hapo wekeni video za Kenya tena
Usigeneralize mzee, walioingia kichwa kichwa hilo ni wao ila binafsi nilikataa tangu mwanzo kwamba tutakuja kulia na ndicho kilichotokea watu walikuwa na expections kubwa tofauti na uhalisiaNdio.maana watu wanasema walimu hamna akili.