Rais Samia 'akunwe kwa staha' suala la bei za mafuta

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Tokea usiku wa kuamkia leo Watanzania wamevalia njuga suala la kupanda kwa bei za mafuta huku lawama zote wakizielekeza kwa Rais Samia.

Binafsi nawasihii ndugu zangu tupunguze lawama kwa Rais huku tukikumbuka hapendi kukunwa kwa papara kama alivyotueleza.

Samia akunwe kwa staha na yeye atapulizia kuno lile.
 
Meanwhile fuel price per gallon in USA today.

FB_IMG_1651672197828.jpg
 
Tokea usiku wa kuamkia leo Watanzania wamevalia njuga suala la kupanda kwa bei za mafuta huku lawama zote wakizielekeza kwa Rais Samia.

Binafsi nawasihii ndugu zangu tupunguze lawama kwa Rais huku tukikumbuka hapendi kukunwa kwa papara kama alivyotueleza.

Samia akunwe kwa staha na yeye atapulizia kuno lile.
Kwahiyo wewe tukuparue sio au nawe hutaki kuparuliwa.
 
Mimi Namshauri Mama Mafuta Ni Janga zito watu wanalalamika sana sana sana...Wanalia na kuumia kwa upande mwingine ni vizuri kama nchi tusilinganishe na Matatizo ya wengine mana hayaondoi ukweli wa maumivu yetu Mama iangalie hiyo sekta ina matatizo hiyo sekta kuna kagenge humo kanapitia kisingizio cha Ukraine.
 
Sekta ya Mafuta Ina ujanja ujanja mwingi maana ndio ina hela nyingi kila mtu anatumia kuna magenge na hapo ndio mhimu idara zetu saidieni nchi hii...Msikae tu ndio mana ya Idara kuwepo tunakua na intelijensia ya uchumi kuzuia mianya ya kuumiza wananchi wengi je mnafanya nn kusaidia?? Mnachunguza kujua ni wapi ulipo mwanya wa kupata mafuta nafuu au kuzuia bei kwenda juu kama ni ujanja ujanja? Kushauri kupunguza matozo sehemu flani...
 
Hiyo idara imebobea kwenye siasa kiuchumi haina kitu.
 
Tokea usiku wa kuamkia leo Watanzania wamevalia njuga suala la kupanda kwa bei za mafuta huku lawama zote wakizielekeza kwa Rais Samia.

Binafsi nawasihii ndugu zangu tupunguze lawama kwa Rais huku tukikumbuka hapendi kukunwa kwa papara kama alivyotueleza.

Samia akunwe kwa staha na yeye atapulizia kuno lile.
Russia kwa sasa wanauza mafuta bei rahidi ili yasiwadodee baada ya kususwa na west. India na China wanayachangamkia. Ni vizuri na zisi tupige hesabu gharama ya kuyasafirisha toka Russia hadi Tanzania na tujumlishe na bei ya ununuzi, tukiona ni nafuu kuliko tunakonunua sasa basi na sisi tuyachangamkie. Tusijali wala kuogopa kelele za nchi za magharibi.
 
Wizara ya nishati ni ngumu sana maana once nishati ikipanda basi tegemea Kila kitu kuwa juu, Makamba analo.
 
Tokea usiku wa kuamkia leo Watanzania wamevalia njuga suala la kupanda kwa bei za mafuta huku lawama zote wakizielekeza kwa Rais Samia.

Binafsi nawasihii ndugu zangu tupunguze lawama kwa Rais huku tukikumbuka hapendi kukunwa kwa papara kama alivyotueleza.

Samia akunwe kwa staha na yeye atapulizia kuno lile.
Hata bure,mweee
 
Tunataka rais atoke bara tumechoka na watu wasiokuwa wazalendo.
 
Sekta ya Mafuta Ina ujanja ujanja mwingi maana ndio ina hela nyingi kila mtu anatumia kuna magenge na hapo ndio mhimu idara zetu saidieni nchi hii...Msikae tu ndio mana ya Idara kuwepo tunakua na intelijensia ya uchumi kuzuia mianya ya kuumiza wananchi wengi je mnafanya nn kusaidia?? Mnachunguza kujua ni wapi ulipo mwanya wa kupata mafuta nafuu au kuzuia bei kwenda juu kama ni ujanja ujanja? Kushauri kupunguza matozo sehemu flani...

Ili baadaye muwafanye sabaya sio ??! Ndege njanja.
 
Tokea usiku wa kuamkia leo Watanzania wamevalia njuga suala la kupanda kwa bei za mafuta huku lawama zote wakizielekeza kwa Rais Samia.

Binafsi nawasihii ndugu zangu tupunguze lawama kwa Rais huku tukikumbuka hapendi kukunwa kwa papara kama alivyotueleza.

Samia akunwe kwa staha na yeye atapulizia kuno lile.
Natamani nimkune kwa kweli
 
Back
Top Bottom