Nshomile huyoHivi huyu mama ni mTanzania?
Stergomena Tax Bamwenda ni Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Ushirikiano wa nchi za kusini mwa Africa (SADC). Ni Mtanzania ambaye zamani alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda. Bahati mbaya SADC ni kama club tu , haina maamuzi mengi ambayo ni binding. inaishia kushauri tuHivi huyu mama ni mTanzania ?
Tupe mafanikio yake/records zake.Dkt. Stergomena Lawrence Tax, anajitambua na yuko vizuri mno kikazi
Mwingine ni paramagamba mwaluko kabudi.Kuna watu wana majina mazuri! Mwingine ni Hawa Mapenzi Ghasia!
Mwingine Maua DaftariKuna watu wana majina mazuri! Mwingine ni Hawa Mapenzi Ghasia!
Ni kweli mkuu ni kama Tea club ya viongozi wake ila huyu mama nadhani muda wake kuwa SADC unaisha labda Mswana anaweza kuchukua nafasi yake maana president wao ameshaanza lobbying ya raia wake achukue nafasi hii.Stergomena Tax Bamwenda ni Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Ushirikiano wa nchi za kusini mwa Africa (SADC). Ni Mtanzania ambaye zamani alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda. Bahati mbaya SADC ni kama club tu , haina maamuzi mengi ambayo ni binding. inaishia kushauri tu
Lakini iwe mswana, n.k si haki yao na si Kuna taratibu za kumpata mwingine, baada ya alikuwepo muda kuishaNi kweli mkuu ni kama Tea club ya viongozi wake ila huyu mama nadhani muda wake kuwa SADC unaisha labda Mswana anaweza kuchukua nafasi yake maana president wao ameshaanza lobbying ya raia wake achukue nafasi hii.
Ila sielewi kama Stergomena ameacha mchango wowote kwa Tanzania.Ni kweli mkuu ni kama Tea club ya viongozi wake ila huyu mama nadhani muda wake kuwa SADC unaisha labda Mswana anaweza kuchukua nafasi yake maana president wao ameshaanza lobbying ya raia wake achukue nafasi hii.
Mkuu umenena kama nilivyochangia mjadala huu ,ni haki ya kila member wa SADC kupeleka jina la raia wao na kufanyiwa kampeni,again ninarudia ni haki yao nilichoongezea na kuwa na informations about president wa Botswana kuanza kampeni ya raia wake na ni haki ya kila President kumfanyia kampeni raia wake(kumbuka President Nyerere kuhusu Salim Ahmed Salim kugombea kuwa SG wa UN)next time and always read to understand MkuuLakini iwe mswana, n.k si haki yao na si Kuna taratibu za kumpata mwingine, baada ya alikuwepo muda kuisha
Possible watanzania wakiwa kwenye nafasi hizi wengi wao wanajisahau ona kenya walivyojitangaza kiutalii wakati mwingine kutumia za kwetu na ambassador wetu hakanushi wala to put the record straight,ndio kwanza wanavuta viti virefu na kuagiza cognac!Ila sielewi kama Stergomena ameacha mchango wowote kwa Tanzania.
Possible watanzania wakiwa kwenye nafasi hizi wengi wao wanajisahau ona kenya walivyojitangaza kiutalii wakati mwingine kutumia za kwetu na ambassador wetu hakanushi wala to put the record straight,ndio kwanza wanavuta viti virefu na kuagiza cognac!
One of the true patriots of this nation, Dr Stergomena Tax.Dkt. Stergomena Lawrence Tax, anajitambua na yuko vizuri mno kikazi.