KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Hatuwezi hata kumwajiri 'consultant' tukamlipa aifanye kazi hiyo kwa maelekezo yetu tukitumia lugha tunayoifahamu vizuri sisis?..hatutaki kujifunza Kiingereza.
..sasa tutajitetea au tutajitangaza vipi kama lugha inatupiga chenga?
Hatuwezi hata kumwajiri 'consultant' tukamlipa aifanye kazi hiyo kwa maelekezo yetu tukitumia lugha tunayoifahamu vizuri sisis?
Nadhani hilo litakuwa ni tatizo kubwa zaidi ya kutojua lugha pekee!
Dah....kuna yule aliitwa.... Ulimwengu Udugu Matata ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]Mwingine Maua Daftari
Hilo jina utasema siyo mmatumbi
Kivipi Mkuu Kalamu1 , sijaona uwapo wake SADC umeisaidia kitu gani Tanzania
Ni kijiwe cha heads of states kukutana kusocialize na kuongea mawili matatu. Zote, hata AU na EAC.Stergomena Tax Bamwenda ni Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Ushirikiano wa nchi za kusini mwa Africa (SADC). Ni Mtanzania ambaye zamani alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda. Bahati mbaya SADC ni kama club tu , haina maamuzi mengi ambayo ni binding. inaishia kushauri tu
Hivi huyu mama ni Mtanzania?
New form of social cooperation of former Frontline states for liberation of Southern Africa. No more..unadhani Tz haifaidiki kwa kuwa mwanachama wa Sadc?
Kuleta "kitu Tanzania" kunaweza kuwa kwa njia mbalimbali mkuu 'Tuxnet'; njia nyingine hazina kipimo kilicho wazi.Kivipi Mkuu Kalamu1 , sijaona uwapo wake SADC umeisaidia kitu gani Tanzania
Kuliko Professor wa KubagazaDkt. Stergomena Lawrence Tax, anajitambua na yuko vizuri mno kikazi.
Mkuu 'JokaKuu', pamoja na kukubali aibu hiyo..., mimi nadhani tunalo tatizo kubwa zaidi ya lugha pekee...Yes, we can do that.
..Sasa huyo ' Consultant ' atakuwa Mkenya?
..Hiyo siyo aibu kweli?
Tunamjua kwa jina la Stergomena Bamwenda, leo tena Lawrence?IKULU
Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 23 Aprili, 2021
ushuru sio wamchezomchezo ,tofauti kabisa na watokea majalalaniDkt. Stergomena Lawrence Tax, anajitambua na yuko vizuri mno kikazi.
Hapana. Sio Nshomile. Yeye ni "Burushi" wa Bunda Mara Ila iliyekuwa mumewe ndiyo Nshomile.Nshomile huyo
Na huyo ambaye hana huo urais katika picha hiyo, ungemkaa vizuri sana huo urais, at least kufuatana na aliyokwishaonyesha kwenye utumishi wake.Nimepata ugumu kumtambua raisi wetu ni yupi hapa naona wote wamefanana.