Rais Samia akutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika, Ikulu, Dar es Salaam

Rais Samia akutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika, Ikulu, Dar es Salaam

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Chief Moyo Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 28 Agosti, 2023.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye ameshiriki katika mazungumzo hayo.

R2.jpg
R1,,.jpg
 
Back
Top Bottom