JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Mmmh.. wewe hujui vizuri.Mwendazake hakuwa na busara kwakweli, kama aliwasahau waliomuweka madarakani ni nonsense....
Nani alimuweka Makongoro kwenye CC ya CCM?
Hata hivyo kupeana vyeo kwa mtindo huu sio vizuri. Huyu anatakiwa astaafu na kulea wajukuu. Hizi kazi wangepata wa TZ wengine.. hata mwanae basi angepewa.