Mmmh.. wewe hujui vizuri.Mwendazake hakuwa na busara kwakweli, kama aliwasahau waliomuweka madarakani ni nonsense....
Mako ni kipenzi cha mama- wa mama wapenda sana watoto watukutu hasa walev------Mako aache pombe sasa apige kazi. Mama amkumbuke pia Madaraka, yupo vizuri sana kuliko Mako!
Mako aache pombe sasa apige kazi. Mama amkumbuke pia Madaraka, yupo vizuri sana kuliko Mako!
Ila yule shetani naye aliwapotezea sana hawa wadau! Wacha nao wale keki ya Taifa uzeeni!Wafanye kazi kama watoto wa wakulima wengine wasingojee kuhurumiwa na kupewa vyeo kwa migongo ya baba zao!!
Aliwapotezea kwa vipi wakati ukoo wote wa Nyerere mpaka vitukuu wanalishwa na serikali kupitia mgongo wa mama Maria? Juu ya hayo Mke wa Makongoro alikuwa Jaji wa Mahakama kuu mpaka amestaafu!!! Ulitaka wabebejwe?Ila yule shetani naye aliwapotezea sana hawa wadau! Wacha nao wale keki ya Taifa uzeeni!
Mako huyo hapo sasa mkuu wa mkoa! Ndiyo nilitaka hivyo! Shetani akawazima mpaka kwenye kura za maoni!Aliwapotezea kwa vipi wakati ukoo wote wa Nyerere mpaka vitukuu wanalishwa na serikali kupitia mgongo wa mama Maria? Juu ya hayo Mke wa Makongoro alikuwa Jaji wa Mahakama kuu mpaka amestaafu!!! Ulitaka wabebejwe?
Makongoro huwa ni fighter. Hajawahi kuwa mpuuzi mpuuzi.Mama Samia kampa heshima Mama Maria kwa kumpa cheo mtoto wake.
Bwana mkubwa asiharibu heshima aliyopewa Mama yake huko alipopewa mkoa.
Wewe siyo mtu [emoji817].Yule alikuwa siyo mtu, alikuwa 90% mnyama ndiyo maana hakuwa na busara.
Asipoacha ulevi atafukuzwa; inambidi abadilike tabia kwani URC sio sawa na kuwa mbunge!!Makongoro huwa ni fighter. Hajawahi kuwa mpuuzi mpuuzi.
Afisa wa jeshimakongoro ni spesho kiasi gani mpaka iwe lazima kumpa ukuu wa mkoa
Kwani unafikiri Makongoro Nyerere hawrzi kuishi bila ukuu wa mkoa ?Asipoacha ulevi atafukuzwa; inambidi abadilike tabia kwani URC sio sawa na kuwa mbunge!!
Utataabika sanaKesho sijui ataenda kumuona Nan Rais wetu Kawa mtu Wa kusalim watu
Lile lilikuwa zimwiKama ni kujichanganya tulijichanganya kuchagua tatizo lile
[emoji23][emoji23][emoji23],muulize Prof Shivji ndio alikitengenezahicho alikalia bibi ndio KIGODA CHA MWALIMU??huwa nasikia naomba kueleweshwa