Hili lilijulikana mapema sanaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Timu ya Simba na Yanga mara baada ya mazungumzo na Viongozi hao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
View attachment 3367062
tarehe 13 Juni, 2025.
Tukutane tarehe 25Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Timu ya Simba na Yanga mara baada ya mazungumzo na Viongozi hao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
tarehe 13 Juni, 2025.
View attachment 3367069View attachment 3367070
Kwahiyo vyombo vya mpira vimeshindwa kusimamia hili jambo hadi kiongozi wa kisiasa wa serikali atoe maoni yake ambapo ni against na fifa?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Timu ya Simba na Yanga mara baada ya mazungumzo na Viongozi hao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
View attachment 3367062
tarehe 13 Juni, 2025.
Yanga bado hawajatoa tamko kwamba wameufyata.Kwahiyo vyombo vya mpira vimeshindwa kusimamia hili jambo hadi kiongozi wa kisiasa wa serikali atoe maoni yake ambapo ni against na fifa?
Bahati mbaya Yanga na madai yao tayari wameingia mfukoni na wameufyata!
Basi Yanga itakua wamefanikiwa kuhairishwa kwa mechi kitu ambacho Yanga alikua anakihitaji kwa madai yuko tayari kucheza ila siyo tarehe 15.Yanga bado hawajatoa tamko kwamba wameufyata.
Wameufyata nini? Yanga wàlishasema hata mambo yakae sawa hawawezi kucheza mechi ya ligi kuu tarehe 15 na kusimamia hilo wachezaji walienda kwa mboso. Simba wametoa waraka jana kuwa hawatacheza mechi yoyote zaidi ya tarehe 15. Sasa hapo utajua nani kaufyata. Tusubiri taarifa zaidi kuhusu uwahibikaji ndio tutajua kama wameufyata au laKwahiyo vyombo vya mpira vimeshindwa kusimamia hili jambo hadi kiongozi wa kisiasa wa serikali atoe maoni yake ambapo ni against na fifa?
Bahati mbaya Yanga na madai yao tayari wameingia mfukoni na wameufyata!