PreGE2025 Rais Samia akutana na Viongozi wa Simba na Yanga Ikulu, leo Juni 13, 2025

PreGE2025 Rais Samia akutana na Viongozi wa Simba na Yanga Ikulu, leo Juni 13, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
KWA HILI TFF NA BODI YA LIGI NI WASHINDI

CHURA MIHEMKO CHALIII

AFU NI MUDA SASA WA KUMUULIZA INJINIA FEKI UWANJA UKO WAPI??MAANA ALITUMIA LA KUSUSA ILI WATU WASAHAU AHADI YAKE YA UWANJA
Simba amefanikiwa kwa lipi katika hili?, Wagome nao kama wanaweza....walishasema trh8 ndio mechi nje ya hiyo trh hawachezi...haya trh 25 😂😂 bata mavi nyie
 
significance yake ni ipi? Kupata kura za mashabiki wa simba/yanga? Mungu tulimkosea nini jamani
Hapa hakuna uhusiano wa mpira na samia... Wapenda haki na mabadiliko hatuwezi kuyumbishwa na suala hili... Siasa ziwe na wakati wake na mpira uwe na wakati wake.
 
Wameufyata nini? Yanga wàlishasema hata mambo yakae sawa hawawezi kucheza mechi ya ligi kuu tarehe 15 na kusimamia hilo wachezaji walienda kwa mboso. Simba wametoa waraka jana kuwa hawatacheza mechi yoyote zaidi ya tarehe 15. Sasa hapo utajua nani kaufyata. Tusubiri taarifa zaidi kuhusu uwahibikaji ndio tutajua kama wameufyata au la
Sawa Mkuu nimekuelewa,
Lakini kitendo cha Samia kujijenga kisiasa kupitia klabu zetu ni kosa sana kama FIFA walivyoeleza hapa Understanding FIFA’s third-party non-interference principle - Fairbridges Wertheim Becker , sema tatizo wabongo ni vilaza hawawezi kusimamia haki zao
 
Anatuharibia mpira wetu, angetulia kwanza ...ana mambo mengi ya msingi ya kufanya kuliko hili la hovyo. Ange mute asubirie wanaume wamalizane, 🥴
 
Puuzi gani hilo lililovaa kanzu, ndio kusema linaipenda sana dini yake? Hebu wakati mwingine mavazi ya kidini yawe yanaachwa mbali kwenye mambo ya umma usiongozwa na imani fulani ya dini. Mikanzukanzu na mibaraghashia ya nini, kwani hapo ni msikitini au timu anayoiwakilisha ni ya kiislamu? Shame on him!
 
Bora mama kaweka mambo sawa wapenda soka tupate burudani
 
Basi Yanga itakua wamefanikiwa kuhairishwa kwa mechi kitu ambacho Yanga alikua anakihitaji kwa madai yuko tayari kucheza ila siyo tarehe 15.

Simba mikwara mingi lakini hamna watu kule

Ila pia Taasisi za soka zinatakiwa ziwe huru bila kiongozi wa kisiasa kuonyesha influence yake kwenye maamuzi.
Kwamba hio timu nyingine ya maharamia ndio Kuna watu?
 
KWA HILI TFF NA BODI YA LIGI NI WASHINDI

CHURA MIHEMKO CHALIII

AFU NI MUDA SASA WA KUMUULIZA INJINIA FEKI UWANJA UKO WAPI??MAANA ALITUMIA LA KUSUSA ILI WATU WASAHAU AHADI YAKE YA UWANJA
MSISAHAU MIKIA JANA MLITOA VITISHO JANA KUGOMEA DABI YA TAREHE NYINGINE TOFAUTI NA TAREHE 15,HAPO NANI CHALI...
 
Back
Top Bottom