Kwa Tanganyika ni ngumu sana, nguvu za kisiasa zinaharibu kila kitu, huyo karia hawezi kukataa oda ya Rais wa nchi hata kama inaoinfana na kanuni za mpira.Ila pia Taasisi za soka zinatakiwa ziwe huru bila kiongozi wa kisiasa kuonyesha influence yake kwenye maamuzi.
Nimemuona GSM kaziwakilisha timu 8 katika kikaoKwahiyo Hersi sio kiongozi? Au ni mambo ya dharula?
Uko sahihi kabisa ndugu yangu; hii Tanganyika ni nchi ya ajabu kweli.Kwa Tanganyika ni ngumu sana, nguvu za kisiasa zinaharibu kila kitu, huyo karia hawezi kukataa oda ya Rais wa nchi hata kama inaoinfana na kanuni za mpira.
๐๐๐Nimemuona GSM kaziwakilisha timu 8 katika kikao
Kuna mengine umalizie kuandika?๐Ila uto, sasa hapo mmeshinda nn? Hadi kujiona kuwa mko sahihi? Au malalamiko yenu, yamesha fanyiwa kazi?
๐๐๐๐๐, Sanamu la Takadini, nalijenga kwa gharama zangu.
Uko sahihi..Kila mwenye akili ameelewa yule Kiongozi ALIYEPIGA simu kuizuwia Simba isifanye MAZOEZI tarehe 7.3.25.
Ni Ajabu kuona timu inavamiwa na polisi wamekaa pembeni. Meneja wa uwanja naye akapongewa kwa kupandishwa cheo .
Leo tumeelewa kiburi cha Yanga kinatokana na shabiki wao namba kubwa ncini ambaye inaonekana ndiye aliye ipiga simu.
Ili kuwapongez vijana wake ndipo ameshinikiza Kuwaondoa viongozi wa bodi ya ligi
Kwaheri nitashabikia Mpira wa bongo mwaka 2031 katika awamu ya 7.
Mpira umevamiwa
Soon itageuzwa na kuitwa Derby ya Mama! ๐ฎMambo ya mpira yangeachwa kwa wana mpira wenyewe. Mambo ya kushinikiza hiki kisifanyike, hiki kifanyike na Serikali, mtakuwa mnaenda wenyewe kushangilia hizo timu. ๐ฎ
Hayo hayo yanatoshaa!!Kuna mengine umalizie kuandika?๐
Kwa kweli ifike hatua yatoshe maana mkiendelea kuandika unakuja waraka mwingineHayo hayo yanatoshaa!!
Waraka upi? Nyie ndo waandikaji wa waraka.Kwa kweli ifike hatua yatoshe maana mkiendelea kuandika unakuja waraka mwingine
Ni juzi tu mmeandika waraka wa kufanya mazoezi leo. Mmevuka wapi? Tusubiri tarehe 25Waraka upi? Nyie ndo waandikaji wa waraka.
Tulishavuka huko sie. ๐๐๐๐
Waraka mlikua mnaandika nyie kila siku.Ni juzi tu mmeandika waraka wa kufanya mazoezi leo. Mmevuka wapi? Tusubiri tarehe 25
Sisi tulikuwa na kesi na TFF na bodi ya ligi. Na nyaraka zote zilikuwa zinaenda kwao. Mamlaka za mpira ni bidamu kama wewe wanakosea na kwenye hili kuna sehemu walikosea. Halafu msijisahu kuwa nyinyi ndio mlisema Rais atawaita Yanga kula pilau na mechi watacheza. Mama amefanya mlichotaka. Pilau limeliwa na mechi Yanga wamekubali kuchezaWaraka mlikua mnaandika nyie kila siku.
Kwangu binafsi, sioni ushindi kwa Uto ktk hili, maana mamlaka za mipira zilishawakataa na case yenu uchwaraa.
Huko kwenye Siasa, tushazoea kutokea haya.
Hakuna jipyaa.