PreGE2025 Rais Samia akutana na Viongozi wa Simba na Yanga Ikulu, leo Juni 13, 2025

PreGE2025 Rais Samia akutana na Viongozi wa Simba na Yanga Ikulu, leo Juni 13, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sisi tulikuwa na kesi na TFF na bodi ya ligi. Na nyaraka zote zilikuwa zinaenda kwao. Mamlaka za mpira ni bidamu kama wewe wanakosea na kwenye hili kuna sehemu walikosea. Halafu msijisahu kuwa nyinyi ndio mlisema Rais atawaita Yanga kula pilau na mechi watacheza. Mama amefanya mlichotaka. Pilau limeliwa na mechi Yanga wamekubali kucheza
Sasa hapo kwani shida iko wapi? Hii ya kukubali kucheza tyuuh ni pigo kwenu, mlishasema round hii hakuna Derby tena, na hamchezi, sasa imekuaje tena?

Km mlikua mnajua maamuzi na hukumu zinatolewa Dar au Dodoma, kule CAS mlipeleka case ya nn? 😂😂😂😂😂

Tar 25 ifike, mbungi ipigwe, watu waendelee na mambo mengine. Lol
 
Hizo simba na yanga zifutwe ni miongoni mwa apparatus zinazotumiwa na ccm kuyafanya matanzania yawe majinga ya kutupwa
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Timu ya Simba na Yanga mara baada ya mazungumzo na Viongozi hao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Leo ijumaa tarehe 13 Juni, 2025 siku mbili kabla ya game kupigwa.

View attachment 3367069View attachment 3367070


==================


UPDATE YA KWANZA.
View attachment 3367097
Hii inaashiria yaliyokua yanaendelea huko yote yalikuA ni CHEZO ili kuwapa KICK wengine,,, Tushalijua Hilo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Timu ya Simba na Yanga mara baada ya mazungumzo na Viongozi hao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Leo ijumaa tarehe 13 Juni, 2025 siku mbili kabla ya game kupigwa.

View attachment 3367069View attachment 3367070


==================


UPDATE YA KWANZA.
View attachment 3367097
Hii inaashiria yaliyokua yanaendelea huko yote yalikuA ni CHEZO ili kuwapa KICK wengine,,, Tushalijua Hilo...
 
Sasa hapo kwani shida iko wapi? Hii ya kukubali kucheza tyuuh ni pigo kwenu, mlishasema round hii hakuna Derby tena, na hamchezi, sasa imekuaje tena?

Km mlikua mnajua maamuzi na hukumu zinatolewa Dar au Dodoma, kule CAS mlipeleka case ya nn? 😂😂😂😂😂

Tar 25 ifike, mbungi ipigwe, watu waendelee na mambo mengine. Lol
Pole sana. Hatuchezi mpaka hatua zimechukuliwa. Hatua zimechukuliwa tunasubiri nini tena kucheza mechi.

Ukielewa kwa nini Karia kamsimamisha Kasongo na Mguto kaandika barua hilo swala la CAS utalielewa pia. Haihitaji kila kitu mfafanuliwe

Ila wa kufanya mazoezi leo waendelee kutekeleza kama kiapo cha waraka wao ili Jpili wapeleke timu Mkapa
 
Ukiwa shabiki wa simba na Yanga ni lazima uwe na matatizo ya akili
 
Kuanzia leo sitaki tena mpira wa Bongo, ushenzi kwenye hili soka hautaisha 🚮

Mamlaka za soka haziko huru juu ya hizi timu za Simba na Yanga.

Politics over football
Naungana na wewe. Tupigwe ban tu. Siasa ishaingia mpirani.
 
Puuzi gani hilo lililovaa kanzu, ndio kusema linaipenda sana dini yake? Hebu wakati mwingine mavazi ya kidini yawe yanaachwa mbali kwenye mambo ya umma usiongozwa na imani fulani ya dini. Mikanzukanzu na mibaraghashia ya nini, kwani hapo ni msikitini au timu anayoiwakilisha ni ya kiislamu? Shame on him!
Punguza ukali ndugu,Siku nyingine akiitwa atavaa msalaba.
 
IMG-20250614-WA0013.jpg
 
Huyu mzee ni nani huko Simba? Kwenye fainali ya shirikisho kule Amani Stadium Zanzibar nilimwona akichimba mikwara hevi kwa mashabiki wa Yanga kutokanyaga uwanjani siku ya pambano.

20250614_122550.jpg
 
Back
Top Bottom