Unajionesha jinnsi Gani ulivyo mpumbavu na akili fupi sana ...kwahio kwa akili yako fupi hili jambo lilikua linahusu nani mshindi wa kuvimbia mamlaka...kwaio nyinyi mmeshindaMSISAHAU MIKIA JANA MLITOA VITISHO JANA KUGOMEA DABI YA TAREHE NYINGINE TOFAUTI NA TAREHE 15,HAPO NANI CHALI...
Mimi sipo kwenye mpira kwa sasa ila hawa washabiki yanga wao wanacheza ngoma yoyote iliyopo mbele yao hata wakiambiwa wanaume wa yanga wote kwanzia leo ni mapapai wao watashangilia tuUnajionesha jinnsi Gani ulivyo mpumbavu na akili fupi sana ...kwahio kwa akili yako fupi hili jambo lilikua linahusu nani mshindi wa kuvimbia mamlaka...kwaio nyinyi mmeshinda
kama una sababu unaivimbia mamlaka mpk wajue kwamba wao si lolote iwapo watatoka nje utaratibu....kwani kitu gani!!!Unajionesha jinnsi Gani ulivyo mpumbavu na akili fupi sana ...kwahio kwa akili yako fupi hili jambo lilikua linahusu nani mshindi wa kuvimbia mamlaka...kwaio nyinyi mmeshinda
Yani ni drama za kijinga tu wakati mda wote bila majeruhi ,mchezaji wa kimataifa huwa anaitaka mechi ya kiushindaniπ€Fact!
Kuna haja ya FIFA kuchunguza, serikali hairuhusiwi kufanya hivi...
Hebu weka hapa tamko la Yanga kuwa walikuwa tayari kucheza derby kwa tarehe nyingine ila siyo 15 Juni. Weka hapa we Uto.Basi Yanga itakua wamefanikiwa kuhairishwa kwa mechi kitu ambacho Yanga alikua anakihitaji kwa madai yuko tayari kucheza ila siyo tarehe 15.
Simba mikwara mingi lakini hamna watu kule
Ila pia Taasisi za soka zinatakiwa ziwe huru bila kiongozi wa kisiasa kuonyesha influence yake kwenye maamuzi.
Leo ni Ijumaa sheikhPuuzi gani hilo lililovaa kanzu, ndio kusema linaipenda sana dini yake? Hebu wakati mwingine mavazi ya kidini yawe yanaachwa mbali kwenye mambo ya umma usiongozwa na imani fulani ya dini. Mikanzukanzu na mibaraghashia ya nini, kwani hapo ni msikitini au timu anayoiwakilisha ni ya kiislamu? Shame on him!
sasa kama ni ijumaa ndio ukurupuke kutoka msikitini hadi ikulu na mikanzu, baraghashia na kobazi? Mbona hizi ni akili za kipuuzi kutokujali uvae vipi unapoenda ikulu? Au kwa sababu wanajua mwenyeji ni wa imani hiyo hivyo hatashangaa wapuuzi hao?Leo ni Ijumaa sheikh
Ila nyie ndio mmeshinda. Wewe ni mjinga PromaxUnajionesha jinnsi Gani ulivyo mpumbavu na akili fupi sana ...kwahio kwa akili yako fupi hili jambo lilikua linahusu nani mshindi wa kuvimbia mamlaka...kwaio nyinyi mmeshinda
πππππMimi sipo kwenye mpira kwa sasa ila hawa washabiki yanga wao wanacheza ngoma yoyote iliyopo mbele yao hata wakiambiwa wanaume wa yanga wote kwanzia leo ni mapapai wao watashangilia tu