Sasa hapo kwani shida iko wapi? Hii ya kukubali kucheza tyuuh ni pigo kwenu, mlishasema round hii hakuna Derby tena, na hamchezi, sasa imekuaje tena?Sisi tulikuwa na kesi na TFF na bodi ya ligi. Na nyaraka zote zilikuwa zinaenda kwao. Mamlaka za mpira ni bidamu kama wewe wanakosea na kwenye hili kuna sehemu walikosea. Halafu msijisahu kuwa nyinyi ndio mlisema Rais atawaita Yanga kula pilau na mechi watacheza. Mama amefanya mlichotaka. Pilau limeliwa na mechi Yanga wamekubali kucheza
Hii inaashiria yaliyokua yanaendelea huko yote yalikuA ni CHEZO ili kuwapa KICK wengine,,, Tushalijua Hilo...Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Timu ya Simba na Yanga mara baada ya mazungumzo na Viongozi hao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Leo ijumaa tarehe 13 Juni, 2025 siku mbili kabla ya game kupigwa.
View attachment 3367069View attachment 3367070
==================
UPDATE YA KWANZA.
View attachment 3367097

Pole sana. Hatuchezi mpaka hatua zimechukuliwa. Hatua zimechukuliwa tunasubiri nini tena kucheza mechi.Sasa hapo kwani shida iko wapi? Hii ya kukubali kucheza tyuuh ni pigo kwenu, mlishasema round hii hakuna Derby tena, na hamchezi, sasa imekuaje tena?
Km mlikua mnajua maamuzi na hukumu zinatolewa Dar au Dodoma, kule CAS mlipeleka case ya nn? 😂😂😂😂😂
Tar 25 ifike, mbungi ipigwe, watu waendelee na mambo mengine. Lol
Naungana na wewe. Tupigwe ban tu. Siasa ishaingia mpirani.Kuanzia leo sitaki tena mpira wa Bongo, ushenzi kwenye hili soka hautaisha 🚮
Mamlaka za soka haziko huru juu ya hizi timu za Simba na Yanga.
Politics over football
Punguza ukali ndugu,Siku nyingine akiitwa atavaa msalaba.Puuzi gani hilo lililovaa kanzu, ndio kusema linaipenda sana dini yake? Hebu wakati mwingine mavazi ya kidini yawe yanaachwa mbali kwenye mambo ya umma usiongozwa na imani fulani ya dini. Mikanzukanzu na mibaraghashia ya nini, kwani hapo ni msikitini au timu anayoiwakilisha ni ya kiislamu? Shame on him!