Rais Samia akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Juni 28, 2021

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Taga aliyekata tamaa
 
Sisemi Katiba sio ya maana, ni ya maana sana
Mkuu Erythrocyte, umeisoma hii?

Ya Azory Gwanda nalo ni muhimu ili wazazi na ndugu watulize roho zao.

Hilo halitahitaji kazi kubwa kama ilivyo kazi ya Katiba; kwa hiyo inafaa atafute njia ya kuyajibu hayo maswala yanayoweza kujibika kwa haraka, ili watu waendelee na maisha yao wakijuwa kilichotokea.
 
Kumbe ni Abdallah Majura! Mbona swali lake linaonekana kama limeulizwa na mpiga picha wa Online Tv.
Kabisa! Yaani kwa mtu mkongwe kama yeye tena ambaye amewahi kufanya kazi BBC hakutakiwa kuuliza swali jepesi namna ile.
 
Mama Anakosea sana kuwaweka hao wanamuziki wapumbavu pumbavu wanaoimba matusi kila uchao... Maama awe anawatumia kwenye mikutano ya kijinga kijinga tu na sio kwenye mambo seriously... kama barnaba kaimba nilidhani anakuny. chooni yaani anatumia mishipa ya nyuma akiwa anaimba
 
Kipindi cha kampeni alienda hadi kariakoo kununua nyanya bila shida yeyote, alafu leo mtu unasema usalama wake uko mashakani?

Yeye asiporudi aseme tu kanogewa kwa amsterdam na siyo suala la usalama
Muwe mnatumia Akili basi.
Iv lisu ndo kasema haya au mtoa posti ndie kashauri haya?
Unasema utadhani lisu ndie Alie Sema haya mane.
Pambana na mtoa posti sio Lisu.
 

lissu ni mtu wa sheria kama anajua hana kosa anatakiwa arudi kwa kifua mbele kabisa, kinachomfanya ajifiche ni nn?
 
Kipindi cha kampeni alienda hadi kariakoo kununua nyanya bila shida yeyote, alafu leo mtu unasema usalama wake uko mashakani?

Yeye asiporudi aseme tu kanogewa kwa amsterdam na siyo suala la usalama
Uchaguzi una macho zaidi ya macho , hakuna kiongozi ambaye angethubutu kumletea Lissu fyoko fyoko angebaki salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…