Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Mbona yupo poa mzee, anajibu maswali kwa composure kubwa sana, katulia, no panicking or kuita watu 'njaa'Naona anataka tu Kulazimisha kuendelea Kuupiga mwingi ila kwa leo najitahidi Kumuelewa bado Ubongo wangu haumuelewi anavyoelezea na Kufafanua.