Rais Samia akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Juni 28, 2021

Rais Samia akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Juni 28, 2021

Akiba ya Serikali ni dola bilion 4, ambazo zinaweza kulast miezi sita
 
Urais ni taasisi, hufanyi kazi peke yako, kazi nyingi unasaidiwa, unapoletewa file mezani basi linakuwa limeshachambuliwa na wasaidizi wako, wewe ni kuhakikisha tu kila kitu kipo sawa- by ssh. Sasa jiwe ilikuwaje akawa analala na mafaili kitandani? Au meza yake yote kujaa mafaili hata sehemu ya kuweka kompyuta hamna?
 
Unadhani kuisimamia JF ni kazi rahisi! Huu mtandao ni zaidi ya magazeti, luninga na redio!

Humu kuna maelfu ya waandishi wa habari! Huku wengi wakiwa hawajasomea kokote hiyo fani yenyewe ya uandishi wa habari! He deserves!!!
Ndugu Maxence Melo & Co. Wanapaswa wapewe tuzo ya heshima kwa kuendesha mtandao unaosaidia kuibua na kuweka wazi madudu nchini.

Ni Jamii Forum pekee ambapo madudu yanawekwa wazi kila kukicha bila ya uoga wowote.
 
Hili la Chanjo hilii!!??

Heehee.

Hapo kazi ipoo.

Tutapukutika.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ni Abdallah Majura alikuwa mwandishi wa BBC zamani na sasa anamiliki daladala za GEREZANI-TEGETA ndio kasema watu wanaipigania CCM lakini teuzi wanapata vijana tu!..
Kumbe ni Abdallah Majura! Mbona swali lake linaonekana kama limeulizwa na mpiga picha wa Online Tv.
 
Naona kimya kidogo, nini kinaendelea.?
Bado anaendelea kujibu maswali ya Wahariri, likiwemo swali la kipuuzi kabisa lililo ulizwa na mtu mzima mwenye IQ ndogo la kwa nini wazee eti hawateuliwi na wakati waliiunga mkono ccm! kutoka kwa huyu Mzee abdallah Majura!

Eti kwa nini wanateuliwa vijana tu!!! 🙄 Hopelesa kabisa!!! Zee zima linawazia uteuzi tu!!

Bado tunasubiria swali la Katiba Mpya!!!
 
Back
Top Bottom