Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
changamoto ..Sikutegemea na uzee wake ule angeongea jambo la ajabu kama lile. Ameuliza swali la ajabu hafananii kuwa mhariri hata kwenye gazeti za shule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
changamoto ..Sikutegemea na uzee wake ule angeongea jambo la ajabu kama lile. Ameuliza swali la ajabu hafananii kuwa mhariri hata kwenye gazeti za shule.
kwasasa Pasco yuko busy na kandarasi yake ya Total.Huyu ni bosi wa PPR.
Maswali haya ya waandishi ni ya ajabu sanaPascal Mayalla itakuwa kanyimwa kibali Cha kuingia ikulu. Wanajua huyu ndiyo angeuliza swali.
Naona waandishi wote waliopo wanajikomba. Hakuna hata mmoja aliyeuliza swali.
Pascal Mayalla uko wapi???
Mzee Pombe angemmaliza huyu.Kuna mmoja ameuliza vizuri sana, ile kamati ya BOT itatoa taarifa lini?
huyu wa DW kafunguka vizuriIla.maswlai ya waandishi ni maswali ya ajabu sana, Kuna tatizo katika nchi hi
Huku yeye aombe maswali tu atakubalimama siku moja aje jf tutakuwa wastaarabu apitie maoni na maswali
Anafiti jukwaa la wahariri?Vipi na huyu mwamba Maxence Melo naye hajapewa mwaliko? Wazalendo tunataka Katiba Mpya! Tena ianzie pale kwenye ile Rasimu ya Jaji Warioba.
kwani mkubwa Maxence Melo hawezi kulifanya hili ?Huku yeye aombe maswali tu atakubali
hili limeulizwaa la katibaVipi na huyu mwamba Maxence Melo naye hajapewa mwaliko? Wazalendo tunataka Katiba Mpya! Tena ianzie pale kwenye ile Rasimu ya Jaji Warioba.
yes ...Huyu wa ITV na Radio One kidogo anauliza vitu vya maana.
Kauli yake kuhusu Katiba Mpya na kauli yake kuhusu matumizi ya dawa za asili kwenye kupambana na Covid-19.
Anaweza na hapa nadhani huwa anapitia sana commentkwani mkubwa Maxence Melo hawezi kulifanya hili ?
Huu ndio mkutano wa kuulizia waliopo na wasio hudhuria? Hii kaliBila shaka leo tutaambiwa aliko Azory Gwanda
Swali gani?Lile swali ni balaa dah! hakika lilikua strong question kwa mkuu wa nchi.