Rais Samia akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Juni 28, 2021

Rais Samia akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Juni 28, 2021

Sometime katika huo mkutano watamwambia serikali itoe matangazo private na wao wapate hela za kujiendesha.

Hiyo ndio Tanzania mtu anaenda shule au anaanzisha biashara, baadae asipota ajira ya serikali au tender za serikali; raisi au waziri hafai.
 
Siyo wote huwa tunamnanga huyu jamaa. Binafsi namkubali Sana huyu jqmaa. Lkn kuna wajanja wachache wanamwonea wivu. Nadhani kawazidi sana akili Sasa wanajaribu kumdhoofisha.
Ila kutoka moyoni paskali ana akili sana na kiukweli anapaswa kupata teuzi
 
Sometime katika huo mkutano watamwambia serikali itoe matangazo private na wao wapate hela za kujiendesha.

Hiyo ndio Tanzania mtu anaenda shule au anaanzisha biashara, baadae asipota ajira ya serikali au tender za serikali; raisi au waziri hafai.
Yametimia mapema kabisa
 
Hiyo barakoa kunung'inia sikioni inaashiria Nini Sasa?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Nikimuangalia Jokate na huyu mama naona falsafa yao kiuongozi ni moja tu wamejikita ktk kujibrand zaidi kuliko kukaa na kufanya kazi
Kama humtaji stone katika hiyo falsafa mkuu itakuwa humtendei haki
 
Ila kutoka moyoni paskali ana akili sana na kiukweli anapaswa kupata teuzi
Kuwa na Akili ni relative kwenye kila regime

Wenye akili kwenye regime ya mwendazake sio lazima wawe na akili kwenye regime ya Suluhu

Tuendelee kujipanga mkuu zaidi sana tujiajili kupunguza msongamano
 
Back
Top Bottom